Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Nani? Kujitungia tuKuna mtu humu kamteka huko om itakua..
Nani? Kujitungia tuKuna mtu humu kamteka huko om itakua..
😅😅😅😅 naamini Lucas Mobutu hatanaswa kwenye huo mtego.😂😂😂 Kumbe tuna mawazo mamoja(sawa).
Asante kwa mfano huo... Ipo siku ufafanuzi wa mfano huu utanisaidia kumwibulia mtu kesi🤣
Mkuu
Fanya tu mauaji,walioko jela ni binadamu kama wewe tu
we nae humtakii memaIpoje?Ni njema pia hali ya hewa ndio sio rafiki sana ila yote kheri.
Nani? Kujitungia tu
Ronny2010 salama pande hizo?
Nilipovumilia ukaniona jinga nikiondoka huwa sigeuki nyumaKwako msamaha ni msamiati
Mmh roho mbayaEndelea na movie na muziki sio mbaya kimoja kikipotea
Kipindi chote hicho nilichokusubiri afu wanilipa hayaNilipovumilia ukaniona jinga nikiondoka huwa sigeuki nyuma
Ila nimekusamehe kuwa na amani
Pole, ukikukaba pumzika.Kwema Kaka mkubwa.
Usingizi unaninyemelea hapa.
Tulijifanya wahindi jambo ambalo kwa sisi wabongo ni ngumuWawezaje nichunia kiasi hiko.. hata zile nyimbo tunazoimbaga pamoja sitak kuzisikia coz zanitia uchungu
Pole, ukikukaba pumzika.
Nikiashirio kuwa mwili unahitaji kupumzika.
Aliku cheat ?Hastahili kuonewa huruma huyoo
Muache apitie kwanza maumivu
Kazi yako naitekeleza 120%Nimeshajiandaa.
Nisije kuchelewa Ibada kesho.


