Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
HayaNani nimemtongoza? Na unajua I'm shy guy
HayaNani nimemtongoza? Na unajua I'm shy guy
Hahaha hata mimi nimeona maana nilimmiss sanaUsijaribu tena kumsusia mke, unatakiwa ule tu ni wa kwako Thad kwahiyo mpe anachotaka
Asante mpenziNipo tu hapa lindoni dear, karibu tujumuike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ongeza sauti sikusikii vizuri!@Thad kumbe aliachana na nanii kweli dunia inaenda kasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe humu inawezekana mm ndio niko bara giza kwa Anko magu pekee angu
View attachment 1264787
Nimestuka[emoji9][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe! kisa cha kutengana haukuwa muaminifu me najua tu kesi ni zilezile[emoji4] huyo huwa ni mke wangu, kuna kipindi mwaka jana mwishoni tuliachana
Ndio tumeanza kuwasiliana mwezi huu so labda alichepuka
Nisamehe dada yangu🙂Asiyejua maana usimpe maana....[emoji45][emoji45][emoji45] ushaniharibia mtego
Ati uliona nini? Kipi kilikufanya uone aibu?Hahaha, umenikumbusha mbali
Nimewahi kusemwa sana na ex wangu, alinikalisha chini akanambia maneno mengi ikiwemo hilo
Niliona aibu sana[emoji23]
BoraItakua aisee[emoji23] maana dunia ndogo hii,
Kwa thad nimetulia sitomsumbua,umri nao umenitupa mkono
Nitakuja keshoUchagani ndani ndani huku hata usafiri hamna saivi.
Nilikua muaminifu sanaaaKumbe! kisa cha kutengana haukuwa muaminifu me najua tu kesi ni zilezile
Ati sina nini?[emoji19][emoji19][emoji19][emoji23]hana msambwanda
Kuhusu kugeuka ,ahsante kwa kunipa siri mkuu, nitaenda hospital nifunge zile kitu wanafungwa wagonjwa wa shingo ili nisiangalie mademu wengine
Apambane tu na hali yakeNimekupenda bure hapo kwenye 'kutokugeuka nyuma'
Poa, karibu.Nitakuja kesho
[emoji23]si unaona watu wanavopenda tuwe pamoj hadi wananipa siri zakoAsiyejua maana usimpe maana....[emoji45][emoji45][emoji45] ushaniharibia mtego
[emoji23][emoji23][emoji23] wee mwache tuUtajikuta unageuka mwili mzima kama robot.
Ukishageuka utaikumbuka hii post yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari zako ninazo [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ongeza sauti sikusikii vizuri!