JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

To watch and to see.

Kuona haupangi ila kuangalia unapanga na unakua umeweka akili yako kutathnini unachokiona.

Najua unajua tofauti zake.

#sijuiKamaNaeleweka😀
Shukrani sana kwa ufafanuzi murua kabisa.
Kwahiyo wanaume mnapopishana na wadada wenye mizigo yao(wezere) mkigeuka mnakuwa mmeangalia au mmeona?
 
Back
Top Bottom