JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nadhani, wewe ndio utuambie.

Ila alichomaanisha ni kwamba akiwa na mtu(kwa mfano wewe) ukigeuka tuu kuangalia mdada mwingine utakua umejinunulia kesi[emoji3]
[emoji23]hana msambwanda

Kuhusu kugeuka ,ahsante kwa kunipa siri mkuu, nitaenda hospital nifunge zile kitu wanafungwa wagonjwa wa shingo ili nisiangalie mademu wengine
 
Back
Top Bottom