JamiiForums Usiku wa manane
Akipita halafu akute umepanga kunipitia kwenda kwenye mpito wa kiroho kesho ni kweli bado utanipitia kwenda kupita katika mpito huo?
mpito wa kiroho si ni kwa wanaume.....atatupeleka atuDrop yeye akaendelee na mengine, usijali chief.
 
Kigoma raha sana mkuu..
9f924bc6298cc9df0e705f4972548265.jpg
bfbf1cb8e6de1e393db65d76ca9a578b.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
hahaha asante sana Vinci,
nimevutiwa zaidi na sahani hiyo ya chini...nitampikia dada yako siku moja sijui ataweza kula

Cc bbade
 
Back
Top Bottom