Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Uniambukize mtindo wako wa kutolala sio?
Sindio ukuwe fiti tuendelee kulinda![]()
Sindio ukuwe fiti tuendelee kulinda![]()
Umesema mkeka nimekumbuka nimeplace bet ngoja nikacheki kama imechomeka tayari.. Sina hopeHata mkeka poa tu. .....
Ila chai nyeusi chalii...utaharibu meno

Ooohhh pole. ....Zimeshaisha tayari, dental care 0%, insurance hai involve hiyo side.![]()
Umesema mkeka nimekumbuka nimeplace bet ngoja nikacheki kama imechomeka tayari.. Sina hope![]()
Asante.Ooohhh pole. ....
Naelewa Zurri. Nilikuwa nakuchemsha tu. Lugha kukopa maneno kutoka lugha nyingine ni jambo la kawaida na kusema kweli haliepukiki kwa sababu hakuna lugha inayojitosheleza. Kiingereza pengine ndiyo lugha iliyokopa maneno mengi zaidi hasa ya kitaaluma lakini kukopa huku hakukuibadilisha lugha hiyo...na Kiswahili ni Kibantu kwa asilimia 100 kabisa...Upo vizuri sana !!!Kiwango cha msamiati sijui,hili tunaweza kuwauliza maguru wa lugha hii,ila msingi mama wa lugha moja kutoafautiana na lugha nyingine ni SARUFI,sababu katika fani au somo la sarufi ndio huwa tunapa maneno na maumbile yake.
Kiswahili kitakuwa ni kibantu kwa sababu niliyokupa na hakiwezi kuwa mseto na ligha nyingine sababu kila lugha ina sarufi yake,Kiswahili hakiwezi kuwa kiarabu sababu sarufi ya kiarabu ni tofauti kabisa na sarufi ya Kiswahili,kwa minajili hii ndio maana tunaishia katika kukopa maneno kwa maana zake au matamshi yake lakini hatukopi sarufi.


pumzika salama
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitarudisha shukrani zangu za dhati kwenu na kuwapa kongole za kutosha,kwa ushirikiano wenu mpaka muda huu.
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Hapa nina usingizi balaa,nikiendelea kuandika sana nisije kuandika "bbade i love you". Hatari sana usingizi.
Ni heartbreak tu hakuna maji ni hewaFanya tuje tunywe hata Maji. ...

Naelewa Zurri. Nilikuwa nakuchemsha tu. Lugha kukopa maneno kutoka lugha nyingine ni jambo la kawaida na kusema kweli haliepukiki kwa sababu hakuna lugha inayojitosheleza. Kiingereza pengine ndiyo lugha iliyokopa maneno mengi zaidi hasa ya kitaaluma lakini kukopa huku hakukuibadilisha lugha hiyo...na Kiswahili ni Kibantu kwa asilimia 100 kabisa...Upo vizuri sana !!!
Sipendi near misses.. Bora zingechoma events hata mbili au tatu. Moja ilikuwa very closeKuna baadae na kesho tena. ....usivunjike moyo. ...
Nimeona pole. ..Sipendi near misses.. Bora zingechoma events hata mbili au tatu. Moja ilikuwa very close
Umechaniwa mkeka ama?
Hahaha huoni hapo team moja tu imechoma betUmechaniwa mkeka ama?

AsanteNimeona pole. ..
Kuna huo mzozo ndiyo na ndiyo ilikuwa hoja kuu ya Sheikh Nabhany na kundi lake la wanajungu kuu. Hawa wanadai kwamba karibu kila neno la mkopo katika Kiswahili limekopwa kizembe tu kutokana hasa na uteuzi na usanifishaji tata wa Kiunguja; uteuzi wenye malengo ya kibeberu. Kundi hili limekwenda mbali zaidi hadi kupendekeza maneno mbadala kwa kila msamiati wa mkopo. Wanasema kuwa kuna utajiri mkubwa sana wa kimsamiati katika lahaja kongwe za Kiswahili; lahaja ambazo zilipuuzwa na badala yake lahaja changa tu na iliyonajisiwa na Kiarabu (Kiunguja) kuteuliwa. Kundi hili ndilo limetupatia maneno kama runinga (mbadala wa televisheni), nywila na mengineyo mengi ambayo hayajashika kasi katika matumizi ya kawaida. Kama vile jungu kuu lisivyokosa ukoko, wanajungu kuu wanaamini kuwa Kiswahili kinajitosheleza kabisa kimsamiati na wanapambana kufa na kupona kubadilisha athari za Kiarabu na Kiingereza katika Kiswahili Sanifu.Tunaendelea kujifunza. Ila kaka mkubwa umeiva,ulishusha nondo za ukweli sana nikajifunza kitu pale mwanzo ulipotoa sababu za kwanini ilipigiwa chapuo sana lahaja ya Kiunguja dhidi ya nyingine,sijawahi kuzisoma hizo sababu hapo kabla,ila itanibidi niende kuchimba zaidi ili niendelee kufaidika tena na tena.
Sielewi cho chote kuhusu haya mambo na sijawahi kubet ndo maana sikujaribu hata kuangaliaHahaha huoni hapo team moja tu imechoma bet![]()



Duh hata sijaelewa kitu.. Lahaja ni nini chief?Kuna huo mzozo ndiyo na ndiyo ilikuwa hoja kuu ya Sheikh Nabhany na kundi lake la wanajungu kuu. Hawa wanadai kwamba karibu kila neno la mkopo katika Kiswahili limekopwa kizembe tu kutokana hasa na uteuzi na usanifishaji tata wa Kiunguja; uteuzi wenye malengo ya kibeberu. Kundi hili limekwenda mbali zaidi hadi kupendekeza maneno mbadala kwa kila msamiati wa mkopo. Wanasema kuwa kuna utajiri mkubwa sana wa kimsamiati katika lahaja kongwe za Kiswahili; lahaja ambazo zilipuuzwa na badala yake lahaja changa tu na iliyonajisiwa na Kiarabu (Kiunguja) kuteuliwa. Kundi hili ndilo limetupatia maneno kama runinga (mbadala wa televisheni), nywila na mengineyo mengi ambayo hayajashika kasi katika matumizi ya kawaida. Kama vile jungu kuu lisivyokosa ukoko, wanajungu kuu wanaamini kuwa Kiswahili kinajitosheleza kabisa kimsamiati na wanapambana kufa na kupona kubadilisha athari za Kiarabu na Kiingereza katika Kiswahili Sanifu.
Wanapendekeza kuwa tukitaka kukopa neno kwanza tuangalia ndani ya lahaja za Kiswahili kwenyewe. Tukikosa twende kwenye lugha nyingine za Kibantu. Tukikosa humo tuangalie katika lugha zingine za Kiafrika. Na tukikosa huko ndo tuhamie kwenye utohoaji wa moja kwa moja (radio = redio, helicopter = helikopita...)
Japo siyo taaluma yangu lakini napenda sana mambo haya ya kitamaduni, Uafrika wetu na ukombozi wa kifikra.