Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,576
- 81,455
Dah kudadeki leo tutakoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah kudadeki leo tutakoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siyo shabiki wa mpira so sijali. Ila kama kuna anayekereka kikweli kweli aseme. Timu hizi zina wenyewe ati! Lakini hata kutaniana jamani!? Mbona Haji Manara huwa anataniwa...anatoka povu halafu baadaye anarudi kwenye mstari?Mimi kama kiranja na kwa mamlaka mliyonipa wenyewe nawaamuru mrudi kule kwenye jukwaa la michezo mnajadili simba.
Mkimaliza mje lindoni na mada nyingine. Nasema hivi maana sitaki tusababishiane maudhi ya kihisia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha ya mpira kutaniana. Vumilieni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Dah kudadeki leo tutakoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Haji Manara si alishasema simba sio baba yake wala mama akeMimi siyo shabiki wa mpira so sijali. Ila kama kuna anayekereka kikweli kweli aseme. Timu hizi zina wenyewe ati! Lakini hata kutaniana jamani!? Mbona Haji Manara huwa anataniwa...anatoka povu halafu baadaye anarudi kwenye mstari?
Hahaha ungeona emoji chini ungejua natania tu. Najua leo simba tumepatwa maana na sisi huwa tunawatania sana wenzetu wakifungwa [emoji23][emoji23][emoji1787]Mimi siyo shabiki wa mpira so sijali. Ila kama kuna anayekereka kikweli kweli aseme. Timu hizi zina wenyewe ati! Lakini hata kutaniana jamani!? Mbona Haji Manara huwa anataniwa...anatoka povu halafu baadaye anarudi kwenye mstari?
PM ni wapi mkuuTo whom is still awake,Lets have a late night chat ama uni Pm ama tuingie wats app
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mnalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha ungeona emoji chini ungejua natania tu. Najua leo simba tumepatwa maana na sisi huwa tunawatania sana wenzetu wakifungwa [emoji23][emoji23][emoji1787]
Whatsapp? Ina maana we mkuu unagawa namba yako ya simu hovyo hovyo tu huku mitandaoni? Hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]To whom is still awake,Lets have a late night chat ama uni Pm ama tuingie wats app
Sent using Jamii Forums mobile app
Buda chat tu hapa watu hatulali, ka uko na topic yoyote we post tu isiwe tu inavunja sheria za JF, tutachangia wote.To whom is still awake,Lets have a late night chat ama uni Pm ama tuingie wats app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga haijanifikisha hapo,siezi patiana my number hivyo tu,n btw no one has itWhatsapp? Ina maana we mkuu unagawa namba yako ya simu hovyo hovyo tu huku mitandaoni? Hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nothing much,late night talk and staffs normal tu and maybe kujuana tu,still nasaka mabheste
Niliona unaita watu waje PM au Whatsapp ndo maana nikasema hivyo. Mine was just a simple and an innocent observation kamanda. Feel free and do your thang [emoji106][emoji106][emoji106]Ujinga haijanifikisha hapo,siezi patiana my number hivyo tu,n btw no one has it
Sent using Jamii Forums mobile app
Still sipati hao ma girl dehm but nina maboy kadhaa ni ma arif saiBuda chat tu hapa watu hatulali, ka uko na topic yoyote we post tu isiwe tu inavunja sheria za JF, tutachangia wote.
Kama ukiona mshii msupa unataka kumchorea we chorea tu hapa hapa tutakupea support akikataa kukatika [emoji23][emoji23]