Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,580
- 81,516
Huu mchezo wa hatari sana ila ukiwa na akili na hela ni mchezo mzuri tu. Mbaya usiwe na njaa maana utaongezewa njaa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]Sielewi cho chote kuhusu haya mambo na sijawahi kubet ndo maana sikujaribu hata kuangalia [emoji16][emoji16][emoji16]