JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani simba leo imekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190202-WA0039.jpeg

Leo tunajifunza kuhesabu Kiarabu [emoji16][emoji16][emoji16]

Moja - wahed [emoji736]
Mbili - Ithnan [emoji736]
Tatu - Thalatha[emoji736]
Nne - Arba[emoji736]
Tano - Khamsa[emoji736]
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
 
View attachment 1011840

Khamsa[emoji23][emoji23]
 
Mtu wa mapicha picha leo umetia hasara kuweka bandiko hili, umeturudisha chekechea kujifunza kuhesabu acha kutudharau wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mshabiki wa Simba leo itabidi ujifunze kuhesabu Kiarabu angalau mpaka 10 kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]

Mapicha picha yangu huwa yanakukera? Hii siyo mara yako ya kwanza kulalamika kiaina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mimi kama kiranja na kwa mamlaka mliyonipa wenyewe nawaamuru mrudi kule kwenye jukwaa la michezo mnajadili simba.

Mkimaliza mje lindoni na mada nyingine. Nasema hivi maana sitaki tusababishiane maudhi ya kihisia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom