Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Ni kusema sikufundishwa kiswahili shuleni? Au ?
Kiswahili kumbe kigumu hivi?
Kiswahili kumbe kigumu hivi?
Kiwango cha msamiati sijui,hili tunaweza kuwauliza maguru wa lugha hii,ila msingi mama wa lugha moja kutoafautiana na lugha nyingine ni SARUFI,sababu katika fani au somo la sarufi ndio huwa tunapa maneno na maumbile yake.
Kiswahili kitakuwa ni kibantu kwa sababu niliyokupa na hakiwezi kuwa mseto na ligha nyingine sababu kila lugha ina sarufi yake,Kiswahili hakiwezi kuwa kiarabu sababu sarufi ya kiarabu ni tofauti kabisa na sarufi ya Kiswahili,kwa minajili hii ndio maana tunaishia katika kukopa maneno kwa maana zake au matamshi yake lakini hatukopi sarufi.









23'57 Nawaaga kwa muda huu..
