Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,414
Wephukulu nomaa 








Nilijua tu kuwa utatafuta kikasoro...Mbona vidole vinaelekea kusini magharibi?



Anakufa na fashion sasa..Nilijua tu kuwa utatafuta kikasoro...
Pengine kwa sababu ya kuvaa viatu (vya kubana) kwa muda mrefu![]()


Akipita halafu akute umepanga kunipitia kwenda kwenye mpito wa kiroho kesho ni kweli bado utanipitia kwenda kupita katika mpito huo?Mr Miller pita usalimie. ...
Kwa nini unasema hivyo?
KawaidaAnakufa na fashion sasa..![]()
Kila eneo linajidai kivyake mwisho wa hadith hao wote wanabana sauti kwenye kuongea.Na Wakenya huko Lamu na Mombasa nao wanadai chao ndiyo pyua...
Hii ni kutokana na sarufi ya Kiswahili. Kwa maana Kiswahili kina msamiati mwingi wa kiarabu. Lakini Kiswahili ni kibantu.
Wewe unakubali kama Kiswahili si kibantu ? Na kama si kibantu,Kiswahili ni nini ?



Mkuu unataka tucomments tuonekanw tuna tabia mbaya😂😂😂
Ahadi yangu itakuwa pale pale. ...Akipita halafu akute umepanga kunipitia kwenda kwenye mpito wa kiroho kesho ni kweli bado utanipitia kwenda kupita katika mpito huo?



Lugha inapaswa kuwa na msamiati kiasi gani wa kigeni ndiyo inakoma kuwa lugha asilia?
Yaweza kuwa ni Kibantu. Yaweza kuwa ni lugha mseto (Kibantu na Kiarabu)...sijui![]()
Wa Unguja Nyanya wanasema tungule.That DSwadaktaa umesema kweli. Ila Kiswahili ni kibantu tu na hakiwezi kuwa kinyume na kibantu.
Wa Unguja Nyanya wanasema tungule.That D
Bomba la maji wanasema Mferji That Big fat D
Leo wao ndio lahaja zao tuzitumie si tutaangamia.
Umeona wanavyo lichanganya Taifa pendwa liliro barikiwa na Mungu.Rula wanasema Mstari.