JamiiForums Usiku wa manane
Kwa hizi tambo nafikiri Umoja wa Mataifa unatakiwa uwe makini, ili kulinda raia wasidhurike na hiyo vita.

Waswahili wanasema "Mafahali wawili wakigombana nyasi ndo zinaumia"
We acha tu Mzee, hapa hata Umoja wa mataifa hawana haja ya kuingilia maana hata ingekuaje USA hawezi mpiga North Korea naana inajulikana kabisa North Korea yote itageuka majivu
Jamani hii mada ya vita baridi imeingiaje hapa?
 
446531494_381061.jpeg
 
Back
Top Bottom