Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Hahaha malizana nae huyo huyo mkuuHalija noga kivile,tatizo kuna tetea mmoja tu humu bbade
Hahaha malizana nae huyo huyo mkuuHalija noga kivile,tatizo kuna tetea mmoja tu humu bbade
Hiyo sina haja nayo .... Waambie wakupe wewe ....Mbona umenibana hivyo...umeambiwa nikikubali una pewa 10% ya michango ya harusi nini?
Utasubiri sana.....nishapandishwa cheo nasikia....
Namsubiria mkuu wa Lindo anikabidhi




Pita kimya kimyaNielekeze cha kufanya
Bomani nimeamuaHiyo sina haja nayo .... Waambie wakupe wewe ....
Karibu kipenziNawaona mko busy na lindo
Unamaanisha ninyate auPita kimya kimya
Bomani nimeamua
Fanya usikatize kabisaUnamaanisha ninyate au
kwann tena
Mnakuwaga na confidence kutongozwa na mtu asiewaona, huwa mnajibu tu mtakavyojisikia ila mkibanwa kwenye kona hamna ujanjaFanya usikatize kabisa
Sio Mimi...Mnakuwaga na confidence kutongozwa na mtu asiewaona, huwa mnajibu tu mtakavyojisikia ila mkibanwa kwenye kona hamna ujanja
Ahsante kipenziKaribu kipenzi