Watu wanachanuana SAA hzhivyo kumbe,ndio maana hawaonekani eeeh kumbe miguu minne.
HB hebu mtokee kimwana. Usiutese moyo wa kipusa.Bhana acha hizo in kiswahili tu kibovu? Jinsi ya kufikisha ujumbe
Pls acha kutesa moyo we mwenzio
Sasa umetambua au vipi.Nilikuwa sijatambua jje's
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Hogo la jang' ombe. Inna kakuacha?Ndio love.
Inna kaniacha kasema anatafuta vidude kama vya le mutuz. Kasema mimi mziki wangu mnene sana kaushindwa kabisa.
Mzima wewe lakini?
Njoo bas hata unichum
Njoonani macho tuchat kidogo
Ukiamka utuambie kama mpenzi unayemzimikia ndiye huyo. HB.Oky mm mwenyewe nalala Leo nimechoka
MieNani yupo macho mida hii
Heri yako. Muda wa kusali.Mida ya kupata cha asubuhi hii
Sasa umetambua au vipi.

Huyu x- mwanafunzi wako anavituko sana itabidi tumzoee tu, we hujaona mahali kasema nabii Tito ndie anaemwamini?![]()
![]()
Mimi hapaNani atafunga get tI?