jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Duuuh tufanye kesho nishaitwa mwenzioAsante Nina ubuyu wa code Leo unapenda
Nina majukumu mengine
Duuuh tufanye kesho nishaitwa mwenzioAsante Nina ubuyu wa code Leo unapenda
nawe pia mpendwa..Naogopa kusahau majukumu yangu
Niwaache tafwadhali
Mungu awatunze
PoaAcha waondoke tutafunga usijali![]()
Oky mm mwenyewe nalala Leo nimechokaDuuuh tufanye kesho nishaitwa mwenzio
Nina majukumu mengine
Sasa mbona tumezama mapema, si tutchoka!ni saa 8![]()
kwani wote hawa waliomo humu unahisi wamelala mkuu?😀😀nani macho tuchat kidogo
Poa uck mwema darlnOky mm mwenyewe nalala Leo nimechoka
Usilale kwanzaOky mm mwenyewe nalala Leo nimechoka
kuna wengine utakuta wako na kazi saizi, wengine ni kipindi cha mapumziko mechi za usiku, wengine basi tu kapita bahati mbaya ila ana usingizi debekwani wote hawa waliomo humu unahisi wamelala mkuu?😀😀
Enhee muda wetu watoto washalalaPoa uck mwema darln
mkuu uko poa lakini?Watu hawalali wanabip tu..
ila kweli aiseekuna wengine utakuta wako na kazi saizi, wengine ni kipindi cha mapumziko mechi za usiku, wengine basi tu kapita bahati mbaya ila ana usingizi debe
Usilale, etii, eti wewe una... (Inasemekana lakini)Poa uck mwema darln