spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Wale wanafungua geti mapema kabla ya muda leo inabidi tuwajadili. Kila eneo lina taratibu zake. Hamuwezi kuwa mnakuja huku kutufanyia vurugu!
Inaenda fresh namshukuru munguHuku joto tu sijui michakato inaendaje huko
Ndiyo mm mhaya kwetu kibetaKamanda wewe ni mhaya?
Kamanda wewe ni mhaya?
Thad yupo wapi amekuwa adimuInaenda fresh namshukuru mungu
WakoraNdiyo mm mhaya kwetu kibeta
Ni kweli kabisa hili swala sio la kulinyamazia haiwezekani kuku na bata watuharibie ustarabu. Kama mtu hauwezi kufika muda muafaka si ulale kwani lazima ushirikiWale wanafungua geti mapema kabla ya muda leo inabidi tuwajadili. Kila eneo lina taratibu zake. Hamuwezi kuwa mnakuja huku kutufanyia vurugu!
Kwa kweli namsaka kila konaThad yupo wapi amekuwa adimu
Spadeeee
Jomono hujaibiwaaTangu uende kwenu sikuoni sijui wameniibia!
Nambieee
Fresh. Mambo?Nambieee
Chamdeko vpNapita Kwa kuringaa
dingimtoto ngeda dyali bukoba ?Wakora