Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Mimi hapanani macho tuchat kidogo
Mimi hapanani macho tuchat kidogo
kuna wengine utakuta wako na kazi saizi, wengine ni kipindi cha mapumziko mechi za usiku, wengine basi tu kapita bahati mbaya ila ana usingizi debe
Kipi kimekukera?Jamani wale wa Dar hivi mnaishi je? Yaani nilikuwa huko siku saba lakini siku ya Jumatatu nimekereka balaa
Jana na leo0408 naita majina.
😀😀😀hahahaaaaa,yeye ndio anasinzia ngoja aamke kwanza tutaelewana.
wazima tuuuuuu
Kapeace
Kapeace
Nishakaribia kwema hukoKaribu dingi
Kamanda wewe ni mhaya?karibu
Kwema! Vip haliNishakaribia kwema huko
Huku joto tu sijui michakato inaendaje hukoKwema! Vip hali