Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,521
- 12,364
Acha kuchekesha watu arsenal safari yake inaishia leoarsenal vs inter fainali
Acha kuchekesha watu arsenal safari yake inaishia leoarsenal vs inter fainali
Sio kujiona tu mpira wanaujua sanaRaha sana. Hawa jamaa kutolewa maana wanajiona wanajua mprira sana
ndugu Lax nadhani sasa unaelawa nilivyokwambia swali lako halipo realistic. Yani tuwe champions league winners kwa offside traps!?. Kukomaa na La liga tu ndio lilikuwa jambo la msingichampions ligi bado game ngapi kubeba ndoo --- na ligi bado game ngapi kubeba ndoo?
Wanangu wa Visca Barça 😂😂😂Wewe bado sana kucheza na mimi.
Kumfumga Madrid kusikupe jeuri.
Visca BarcàMashabiki wa RMA wamehamia Inter sasa tunakuja kuwakanda San Siro
Then mtahamia PSG tunawakanda tena
Mamaé round hii mtateseka sana
Na bado tukikutana tena tunawakanda
Sir. Alex Ferguson aliwahi nukuliwa akisema "Attack wins you games, defence wins you titles". Hansi Flick's Barca kuscore goals sio shida zao, ila kudefend ni the Worst barca everMKuu jana ilibaki kidogo sana
Tuliza wenge na usubirie mpiraAcha kuchekesha watu arsenal safari yake inaishia leo
Hata Laliga hachukuiBarcelona bingwa
Hujambo lakiniii? 😂😂😂😂😂Hawa bila hata Lewandowski tunaeafunga vizuri sana.
Kuna vitu tu vya kufanyia kazi.