Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,311
huu mchezo hauhitaji haraka, subiri uonekudadek
huu mchezo hauhitaji haraka, subiri uonekudadek
Kwa wenzetu hakuna goli la ugeniniIla Barcelone anatinga finali
Hatingi.Ila Barcelone anatinga finali
Kazingua mno leoyamal ni kama anakoza zali kuna muda-- biashara ingeshaisha hapa
Na iwe hivyo AmenIla Barcelone anatinga finali
wewe ngoja uje kueleza inzhagi anapatikana kijiji ganihuu mchezo hauhitaji haraka, subiri uone
Kinachomkosti hana beki yaani nyuma Barcelona wana ukuta mbovu sana.Ila Barcelone anatinga finali
Analeta show game kwny game ya vitaKazingua mno leo
Wakitolewa atapiga yowe sanaAnaleta show game kwny game ya vita
120Hivi ni matuta au 120
Naziona goli 3 Tena hapa