Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
Lamine kawachelewesha leoile post aisee
Lamine kawachelewesha leoile post aisee
Ni Sawa na kupata zero kidato cha Nne alafu useme Bora nimefika tu hiyo levelTumetoka japo sio kinyonge
Kwa kikosi kilvyo tumejitaid mnoNi Sawa na kupata zero kidato cha Nne alafu useme Bora nimefika tu hiyo level
Kaka Bora madogo wametoka yoyote achukuwe Hilo kombe mana final ilikuwa leoBado kesho arsenal
Angalau wametok tupumue kdg😆😆Kutoka kutoka tu 😁😀😀😀😀😀
Raha sana. Hawa jamaa kutolewa maana wanajiona wanajua mprira sanaNgoma ya watoto haikesh View attachment 3326505
dah acha kabisaLamine kawachelewesha leo
Paper lilikuwa Halina maswali ya kuchaguaKwa kikosi kilvyo tumejitaid mno
Kutoka ni kutokaTumetoka japo sio kinyonge
Kweli mdau .nilikuwa sina Amani .si Kwa bia zile nilizokuwa nakunywa mara nukasikia goal . equaliser kmmke hapa ndo nikajua kwanini Samia alikataa cheni ya saidi😁😁😁Angalau wametok tupumue kdg😆😆
Wangejisifu umri mdogo alafu wamekalisha mabraza yani ingekuwa sifa Sana mtaani.Raha sana. Hawa jamaa kutolewa maana wanajiona wanajua mprira sana
timu kila ikitolewa aggregate zinahuzunisha mkuuYamal bado tupo nae sana.
Kama unamchukia we jipange kisaikolojia tu.
Cheni ya saidi😁😁Kweli mdau .nilikuwa sina Amani .si Kwa bia zile nilizokuwa nakunywa mara nukasikia goal . equaliser kmmke hapa ndo nikajua kwanini Samia alikataa cheni ya saidi😁😁😁
Lala Tena mkuuNimeota barca katolewa ni kweli ?
Sawaaa tupo na nyie tarehe 11Paper lilikuwa Halina maswali ya kuchagua