Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,311
Haina shaka wewe uta niambia yamal ni kisukuma au kijita
Haina shaka wewe uta niambia yamal ni kisukuma au kijita
Mbappe anaskilizia Tu hukoWakitolewa atapiga yowe sana
Acha mpira uitwe mpiraNaziona goli 3 Tena hapa
Mkeka umepita kaka ondoa Shaka.Tulio bet hii ngoma draw inakuaje?
Ishu sio uchawi, timu zote mbili zina makosa yanayofanana ambayo ni ulinzi. Wengi wanaamini Inter ndiyo timu yenye safu nzuri ya ulinzi kitu ambacho sio kweli, walinzi wa Inter wanafanya makosa mengi sana hata Bayern alipata pochi nyingi sana kwa Inter ila walishindwa kutulia kutumia nafasi.Barcelona akishinda hii mechi nitaamini uchaw upo duniani
Safi, leo muhindi kakaa, lazima acheue jiwe tatu zangu, anajichelewesha ku update mkeka😅Mkeka umepita kaka ondoa Shaka.
Mpira ni dakika 90Wazee presha ya mpira ni kubwa saana hasa ukitaka timu Fulani ifungwe alafu haiwi hivyo.
Leo niSafi, leo muhindi kakaa, lazima acheue jiwe tatu zangu, anajichelewesha ku update mkeka😅
Kama timu gani?😁...hasa ukitaka timu Fulani ifungwe alafu haiwi hivyo.
Huyu Ni mwaribufu 100% miyeyusho Sana huyu faza wa ScotlandDah lewandowiski kaingia, kazi ipo