Sasa inter ana kazi ipii? Kwako umemshindwa, utamuweza kwake?Chuki tu barca kwa mtu anayejua mpira na aliyetazama mechi anajua kazi aliyo nayo inter.
Hatuwezi kutoka believe me.Tupo uzuri kule game dakika 90 nyingine tutakaza..
So far hatuna kikosi kikubwa kupambania makombe yote hayo...
Hata tukitoka sina ninachomdai kocha wala wachezaji...
Tutaelekeza nguvu zetu kwenye ligi...
Hujapona bado mkuuHahahahhahahahaha na mna bahati mamake ilikuwa mfe leo
Sasa subiri ukaoneshwe pira halisi, mbona utakubali mwenyewe.Kwahiyo unashangilia draw?
Ila kwa pira tuliloeapigia leo mna haki ya kushangilia.
Kwani PSG alifungwa wapi na liverpool first leg?Sasa inter ana kazi ipii? Kwako umemshindwa, utamuweza kwake?
😂😂😂😂😂😂
Mpira gani?Sasa subiri ukaoneshwe pira halisi, mbona utakubali mwenyewe.
😂😂😂😂😂😂
Bora muelekeze kwa ligi, huku UEFA kuna wenyewe na wenyewe wapoo.Tupo uzuri kule game dakika 90 nyingine tutakaza..
So far hatuna kikosi kikubwa kupambania makombe yote hayo...
Hata tukitoka sina ninachomdai kocha wala wachezaji...
Tutaelekeza nguvu zetu kwenye ligi...
Inabidi saivi mbishane na ItalyMi ni shabiki wa madrid ila nataka barcelona wabebe hili kombe walilete pale spain tujumlishe na yetu yawe 21 jumla, kisha tushindanishe na timu zote za england tuone jumla wamechukua mara ngapi.
Em acha kujipa matumaini na venye hamna.Kwani PSG alifungwa wapi na liverpool first leg?
Kilichotokea second leg anfield unakifahamu
PSG yuko nusu fainali Liver kashatoka kitambo.
Hawa bila hata Lewandowski tunaeafunga vizuri sana.Nazionale Kwenye mechi sita kashinda moja dhidi ya Cagriari.
Tatu kala kipondo
Mbili sare.
Barca itafute mtu juu pale.
Kwa mpira upi wa Inter?Em acha kujipa matumaini na venye hamna.
Nyiee mshafurushwa bhanaa. Lol
Scoring instinct ipo chini mno.Hawa bila hata Lewandowski tunaeafunga vizuri sana.
Kuna vitu tu vya kufanyia kazi.
Mbona wameshindwa sasa kuwapa matokeo hao kina yamal na jong wako?Mpira gani?
Watu wanatia huruma lamine anawgeuza kama chapati halafu useme watacheza mpira.
Labda pedri de Jong na yamal wafe.
Mpira gani?
Watu wanatia huruma lamine anawgeuza kama chapati halafu useme watacheza mpira.
Labda pedri de Jong na yamal wafe.
Hii hatua ni mtoano, sasa wee tembeza ball, watu wanakufunga, afu uone nani anasonga mbele.Kwa mpira upi wa Inter?
Hivi umeangalia kweli mpira?