Millennium bahati
Senior Member
- Jun 9, 2017
- 125
- 203
Yeye mwenyewe raphinha anakiri kama offer za Saudi zingekuja mwanzo wa msimu angeshatimkia uko mapema tu.Sasa msimu huu nani yupo form??
Yeye mwenyewe raphinha anakiri kama offer za Saudi zingekuja mwanzo wa msimu angeshatimkia uko mapema tu.Sasa msimu huu nani yupo form??
Dah nikuwa kela tu😁Baba Yamal kwemaa? 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 watajua hawajuii.Dah nikuwa kela tu😁
Barcelona siku zote wanadharau ukuta, sajili nyingi ni viungo na washambuliaji tu.Ukuta normally ni Cubarsi, Inigo, Kounde na Balde... Fullbacks za first eleven zote injury...
Tukiingia sokon kama mfuko na sheria zitaruhusu tukusanye nguvu hapo kwanza then mtatuona tena
Dah! Bahati haikuwa upande wetuSema bwasheee, 😂😂😂😂😂
Etii eeeh?! Bas sawaa.Dah! Bahati haikuwa upande wetu
Inter watu wabaya sana, hata hawakuwapa hiyo nafasi ya kufanya ubishoo, wao kwao mgeni akifika wanampa nafasi ya kulia tu.Yule bishoo hakuvaa miwani tena na kushusha mlegezo Kama Kuna mavi mwisho wa mechi ya Jana?
Mimi Wala sikuwa na wasiwasi, ndio maana nika komaa nao mwanzo hadi mwisho.Huwezi amini ndio narejea saizi tangu nisuse kumalizia mechi baada ya kufungwa bao la 3
Dah we jomba una endeleaje huko🤣😂mkuu emu nieleze inzaghi wewe umemjua vipi?🤣
inter kaponea chupuchupu mkuu___ sina maneno mkuu.Dah we jomba una endeleaje huko🤣😂
Asante Kwa kukubali hilo, mpira ni mchezo wa hesabu na uki zijua husumbuki.inter kaponea chupuchupu mkuu___ sina maneno mkuu.
inzhagi noma
Ukuwa na wasiwasi wapi wewe acha uongo.Mimi Wala sikuwa na wasiwasi, ndio maana nika komaa nao mwanzo hadi mwisho.
cha kwanza siangalii mpira Banda umiza, na hata mara ya mwisho sikumbuki ni lini.Ukuwa na wasiwasi wapi wewe acha uongo.
Baada ya Raphina ku score goli la tatu wewe ulikimbia kabisa banda umiza.