FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Baada ya deal la Rodri na Cancelo kukamilika sasa tunaamia kwa Alvarez na Luis Suarez.

Mmoja wapo lazima tumchukue kabla hatujafunga usajili.
Suarez si atakuwa umri umeenda sana Mkuu? Maana yule ni mkubwa rika la Messi lile.
 
Hapo changamoto ni namba 9 tu Mkuu. Ila upande wa wings naona bado kutabaki pa moto.
Yeah 9 changamoto.

Ndio maana tunafosi tumpate Alvarez au Suarez.

Naona pia Flick ameanza kumtumia Yamal kama false 9 tusishangae kulia akisimama Adeyemi na kushoto Gordon.
 
Midfield yetu msimu huu.
Screenshot_20260817-104424_Facebook.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom