FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hansi flick ni kocha kichaa to ever exist in football history, yaani mpaka sasa anatamaa na kushinda champions league. Hiki kikosi gani hiki leo
 
Sasa kama balde,kounde,lewandowsk wameumia unataka na hawa wengne waendelee kuumia
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hapa lazima second half waingie wazee wa kazi, Hii team ya Ronaldo delima inashuka daraja haina cha kupoteza
 
Sasa kama balde,kounde,lewandowsk wameumia unataka na hawa wengne waendelee kuumia
kwahiyo wewe na hizo akili zako unaiona hii barca ikiwin Champions League?... muhimu ni kuwin la liga kwanza, it could be better kama rotation ingefanyika ikiwa kuna 9+ points kwenye title race. au unadhani game ya tar 11 itkuwa rahisi, pia kuna mfupa mgumu wa villarreal na athletic bilbao na tofauti ni 4 points only
 
champions ligi bado game ngapi kubeba ndoo --- na ligi bado game ngapi kubeba ndoo?
 
Game ya madrid umeitoa kweny game ngum keboko
 
champions ligi bado game ngapi kubeba ndoo --- na ligi bado game ngapi kubeba ndoo?
we umelogwa eeh!, kubeba ndoo!? Hivi unaujuwa ubingwa wa champions league au unajiachia tu na hivyo vidole vyako kwenye keyboard
 
Mechi zetu nne zilizobaki kuhitimisha la liga.
Screenshot_20250504-000521_Google.jpg
 
Cules wenzangu.

Naona game yetu ya kesho babu ndoski atakuwepo.

Ila Balde hatokuwepo.
Huyo balde nae pumbavu kila siku baada ya mechi kupiga mipicha tu na wachezaji wenzake uwanjani halionekani kama mgonjwa si akae nyumbani kwanza dogo gerlad martin ashaanza kuwa fire yeye alale nyumbani sio Kila mechi yupo uwanjani tu kupiga mipicha
 
Huyo dogo Gerlad bado sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom