FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nilipokua nawaambia watu humu ndani, mara wanipe kejeli, mara wapovukwe, niliamua kuwa kimyaa,
Leo nna uwezo wa kulipa mashambulizi na nina mudu kabisaa,

Lakini nawaacha wao waugulie pole pole maumivu ya kufurushwaaa.
😂😂😂😂😂😂
Unakagua risiti 😃 😄 😄 😄 😄
 
Unakagua risiti 😃 😄 😄 😄 😄
😂😂😂😂 mashabiki wa Barca tangu jana ucku, hawataki kuona text wala call zangu,

Huku site hata hawana amani, wanahisi ntawachachukia, kumbe hata wazo cna, niko buzzy na mambo yangu.
Ila kunae huyu m1 alivuka mipaka, nasubiri baadae nimsuuze vyedii, tuheshimiane.

😂😂😂😂😂
 
😀😃😃😃😃😄😄😄😄
 
Mashabiki wa Barca, amkeni mkapigwe na jua huko, mnalala mna raha gani? Woiiiih
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daah siyo siri barcelona wanaangushwa na nafasi ya kipa na mshambuliaji, na mabeki wanapanda sana hawajui hata kupaki basi yani ukiangalia magoli, karibu yote waliyofunga inter ni ya counter attack na siyo ya kutengeneza nafasi maana wao walipaki basi
 
We Luka
Yule si ndo Yamal sijui Yama heee kumbe washarudi🤣🤣🤣
 
Attachments

  • images-22.jpeg
    images-22.jpeg
    36.5 KB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom