Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,078
- 1,564
Sio Real Tu Hadi kule Germany wamefurahi mana madogo mnajionaSawaaa tupo na nyie tarehe 11
Maana mashabiki wa madrid mmefurahi mno😃

Afadhali nikojoe nilale hao catalonia wana kamdomo sana.Lala Tena mkuu
Tukutane msimu ujaoSio Real Tu Hadi kule Germany wamefurahi mana madogo mnajiona
Hakuna nomaTukutane msimu ujao
Ni sahihi😀😀Nimeota barca katolewa ni kweli ?
Barca Haina ukuta.Tukutane msimu ujao
Ukuta normally ni Cubarsi, Inigo, Kounde na Balde... Fullbacks za first eleven zote injury...Barca Haina ukuta.
Pole sana Barcelona SC Fan, yote maumivu yatapita.-Timu beki mbovu.
-Golikipa aliyepo pia mbovu
-Madogo wengi ktk timu ni talented ila no maturity.
-Hii game ilishaisha Toka mechi ya kwanza ya Jana ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
Fainali: Inter Milan v/s PSG and winner is PSG ( save this comment)
Arsenal atabeba mkuu-Timu beki mbovu.
-Golikipa aliyepo pia mbovu
-Madogo wengi ktk timu ni talented ila no maturity.
-Hii game ilishaisha Toka mechi ya kwanza ya Jana ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
Fainali: Inter Milan v/s PSG and winner is PSG ( save this comment)
Ila msimu ujao hii barca italaza timu nyingi na viatu-Timu beki mbovu.
-Golikipa aliyepo pia mbovu
-Madogo wengi ktk timu ni talented ila no maturity.
-Hii game ilishaisha Toka mechi ya kwanza ya Jana ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
Fainali: Inter Milan v/s PSG and winner is PSG ( save this comment)
Wakiimarisha ukuta wao na kuacha mbinu yao dhaifu ya offiside trick.Ila msimu ujao hii barca italaza timu nyingi na viatu