FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dàaaah nina natumaini madogo sana.... Naona lewa yupo sub means hayupo fit for starting and not match tactics
Ngoja tuone madogo watatupa kitu gani.

Mimi nina matumaini na madogo hawatatuangusha.
 
Leo ndo mwisho wenu barca, poleni sana
Pole sana Mkuu
GqSBVSebAAIE016.jpeg
 
Leo Barcelona na intermillan wanakutana tena second leg, ambapo naona itakua ni game ngumu sana yaani ni do or die. Hapa nakumbuka UEFA 2009 intermillan alimfanyia Barcelona ukatili na kumtoa kwa kupaki basi na counter attack mpaka intermillan akaenda kubeba UEFA.

Ngoja nione game ya Leo itakuaje, maana intermillan wanataka sana kuchukua kombe hill la UEFA, ijapokua Barcelona wanangaika sana kushinda ugenini. Lakini kwangu mie naona Barcelona ndio timu ya vijana inayocheza mpira mzuri wa kuvutia napia natamani ibebe kombe hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom