MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 499
- 356
Bro achana na uyo mpuuziHivi unaweza ku sacrifice mguu uvunjike just tu kwa ajili ya kuwin public sympathy?
Bro achana na uyo mpuuziHivi unaweza ku sacrifice mguu uvunjike just tu kwa ajili ya kuwin public sympathy?
Mkuu haya sio mashaka bali ndo uhalisia,mbowe ana magenge mengi yanayompenda na yasio mpenda kwa hiyo yaliyomkuta ndio matokeo ya mbowe kumiliki magenge ya uhalifuMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Duh...!.View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mhe. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Kajivunja mwenyewe mguu, au sio!? Sawa sawa. Endeleenj kujenga chuki. Damu ya Akwilina mliyomwaga haijatosha.Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Basi shangilieni, semeni ni vita ya uraisi.
Tanzania nzima inafahamu nani ana chuki kubwa na wanaomkosoa, nani aliapa ataufuta upinzani kabla ya 2020 kuisha!!
May nzima Mbowe na CHADEMA yake ameandamwa sana bungeni kupitia subwoofer, wakatumiwa wabunge wake,ikatumika TAAKUUKUU kumulika ruzuku,wakatumiwa wanunuliwaji ubunge kumshambulia amewadhalilisha kingono, yote hayo hayajawafurahisha!!!
Hata kama! SAA saba za usiku mume wa mtu unakuwa bado kwenye matembezi? Tuwe wakweli unakuwa unatembea na nani saa saba za usiku? Bila shaka utakuwa unatembea na ambao saa kama hizo wao ndo kazi zao zinakuwa zimechanganya! Unawajua sina haja ya kuwataja!! Ukitilia mhusika ni mshabiki wa bilicanas!! Mzee alikuwa anakumbukia vitu vya bilicanas!Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?
Hawako seriousIle timu ya Mbowe ya ulinzi ilikua wapi? Mbowe anaweza kuwa mwenyewe muda huo huku akiimba kila siku nchi ni hatari kwa maisha ya viongozi wa upinzani? Mbona sioni uhalisia hapa jamani?
Unafiki mtupu!!Huchelewi kuja kuleta uzi wa kinafiki kuhusu hili tukio.Duh...!.
Hii ni hatari sana!.
Pole sana Mhe. Mbowe,
Get well soon.
P
We unafkir uyo mlinzi atafanya kazi masaa 24?? Hana familia, hapumziki, muda wote kulinda tu??? Think twiceDiamond mtoto wa juzi awe na walinzi, huyu mzee anayepigana kuongoza nchi akose ulinzi, serious hivi ruzuku wanafanyia kazi gani? Kiongozi mkubwa wa chama kuwa na ulinzi ni moja ya maendeleo.
Mwanaume hana limitation ya kurudi nyumbani kwake. Muda atakao rudi ndio sahihi kwake.Hata kama! SAA saba za usiku mume wa mtu unakuwa bado kwenye matembezi? Tuwe wakweli unakuwa unatembea na nani saa saba za usiku? Bila shaka utakuwa unatembea na ambao saa kama hizo wao ndo kazi zao zinakuwa zimechanganya! Unawajua sina haja ya kuwataja!! Ukitilia mhusika ni mshabiki wa bilicanas!! Mzee alikuwa anakumbukia vitu vya bilicanas!
Hiyo networking ya nyakati za usiku tu aidha ni networking ya kuwanga au ya uzinzi si zaidi ya hapo!Jombaa, madhaifu yako ya kupenda milupo usiyafananishe na watu mwingine. Watu makini hufanya "networking" nyakati za usiku kwa ajili ya "vital issues".
Wanaelekea kushindwa wameamua kuumiza viongozi kama Njia ya kutishaMmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.
Jr
Kwani walinzi hawawezi kuzidiwa nguvu?Mbowe hana walinzi?
Kama hii habari ni ya kweli basi CHADEMA ni sikio la kufa lisilosikia dawa!
we mpuuzi kaa kimy tu, hii ncbi tupo huru hata kutoka saa tisa usiku kwenda mahali popote kufanya chochote halali, hayo mambo ya kuhoji ni uminywaji wa uhuru,,,, yeyote aliefanya huu upuuzi ni yule yule aliemwagia lisu risasi,Haya maelezo hayaja nyooka na maelezo haya yanazua maswali mengi kuliko majibu.
1) Usiku huo mwingi alikuwa anatoka wapi au anaenda wapi ?.
2) Alikuwa na nani ?
3) Walinzi wake wa kila muda walikuwa wapi?
4) Dreva wake alikuwa wapi ?
5) Alikuwa eneo gani na nini hali ya uasalama ya eneo hilo?
6) Alikuwa peke yake au aliongozana na watu wengine?
7) Kama alikuwa na watu wengine, jee na wao wameumizwa ?
Habari muhimu kama hii inayo muhusu kiongozi mkubwa lazima iwekwe wazi ili tujue na tuweze kuhukumu tukio kwa uhalisia wake. Haitawezekana matukio kama haya yatokee kama Taifa tufumbie macho lakini pia Lazima tuhoji kwa ndani ili tupate ufahamu wa pamoja au basi ufahamu wa Watanzania wengi.
Tusihukumu suala la picha ya kutengenezwa na wenye madaraka au sisi wachadema kwa kutafuta huruma.