Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Uchunguzi wa kina ufanyike Ni ujinga ukiwa mpinzani maisha yako yawe hatarini.
 
Mtu kapigwa saa saba usiku alikua anatoka wapi? Kwanini Serikali ilaumiwe moja kwa moja? Kwanini hajaangalia upande wa pili iwe majambazi au kwa vyovyote pengine kafumwa na mke wa mtu? Yaani kwa watu wenye akili kuna mengi sana yakujiuliza sema kwa sababu za kisiasa mtalaum upande mmoja
 
Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!
Basi tufanye huko alienda kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi mkuu ujao!!!!
Acha ufala wewe. Unaandika uharo unasema hoja???
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!
Basi tufanye huko alienda kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi mkuu ujao!!!!
Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?
 
Wewe ni mjinga tu, usinifundishe chochote; ukitaka soma, ukipenda acha, huna lolote wewe na wapuuzi wenzio humu ndani.

Mnajifanya vipofu kutokuona hali halisi, mnataka kuuaminisha umma Mbowe kashambuliwa na vibaka tu, narudia tena wewe na wenzako Englishlady, Mtazamo, Mzee Mwanakijiji, Ngabu ni wapuuzi.

Hao vibaka huwa wanawashambulia Chadema peke yao kwa nini? kuanzia Alphonce Mawazo, Lissu, diwani kule Iringa, na wengine...

Kama ni vibaka tu wa hayo matukio kwanini hatuoni polisi hata wakiwakamata wahusika, hivi nyie ni vipofu wa aina gani mliozoea kuona damu ya wapinzani inamwagika halafu mnaendelea kuleta upuuzi wenu hapa?

Kama polisi wanashindwa kuwakamata hao watu, mnataka tuamini vipi tofauti? kwanini hao vibaka hawawezi hata mara moja kuwashambulia na viongozi wa CCM nao tuone?

Msitake kuleta ustaarabu wenu wa kijinga wa maigizo usio na maana, nyie ndio mnaoleta siasa za kipuuzi, mnataka kutuaminisha ni vibaka wasiokamatwa siku zote, mnaleta hisia zenu za "vita ya ndani ya kwa ndani", hiyo vita ya ndani ndio ilisababisha Mawazo afe? nyie ni wapuuzi, kama ni hivyo kwanini polisi hawawakamati hao wahalifu?

Nyie ni wanafiki, wenye malezi ya kinafiki.
Mkuu denooJ, Unafiki wa Waunga Juhudi umejengwa katika ubunifu wa kipumbavu wa kuteua Wanafiki kwenye ulaji kwa njia ya Teuzi.
 
Ohoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Watu wasiojulikana bwana wamerudi tena... hii ni ishara kwamba corona Tz ndo imeisha maana mpaka watubwasiojulikna wamerudi...... Anyway ngoja tusikilize taarifa zaidi
 
Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
Jombaa, madhaifu yako ya kupenda milupo usiyafananishe na watu mwingine. Watu makini hufanya "networking" nyakati za usiku kwa ajili ya "vital issues".
 
Back
Top Bottom