Acha ufala wewe. Unaandika uharo unasema hoja???Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!
Basi tufanye huko alienda kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi mkuu ujao!!!!
Hata kama wenye future hawalali mapema lakini huwa majumbani mwao! Wasio na future huchelewa kulala wakiwa nje ya nyumbani mwao!Kwa Wasio kuwa na future ndio hulala mapema!
Ujue walinzi ni gharama sana...Ila vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
kama nayeye ni sehemu ya wahusikaNatarijia MUROTO atawatafuta hao WAHUNI waliompiga MWAMBA.
Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?Tumia hoja kujibu hoja, usitumie matusi! Usiku wa manane mume wa mtu unatembea usiku (shughuli za usiku zinaekeweka), mkeo unamwachia nani? Je mkeo atafurahia tabia hiyo? Ukitilia maanani mtu aliyekuwa anamiliki klabu ya usiku bilicanas! Si alikuwa mahali penye shughuli kama ya bilicanas tu!!
Basi tufanye huko alienda kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi mkuu ujao!!!!
Na mwisho wa Ulinzi wa serikali ni saa ngapi?Mkuu kwani mbowe kutembea mwisho saa ngapi?
Mkuu denooJ, Unafiki wa Waunga Juhudi umejengwa katika ubunifu wa kipumbavu wa kuteua Wanafiki kwenye ulaji kwa njia ya Teuzi.Wewe ni mjinga tu, usinifundishe chochote; ukitaka soma, ukipenda acha, huna lolote wewe na wapuuzi wenzio humu ndani.
Mnajifanya vipofu kutokuona hali halisi, mnataka kuuaminisha umma Mbowe kashambuliwa na vibaka tu, narudia tena wewe na wenzako Englishlady, Mtazamo, Mzee Mwanakijiji, Ngabu ni wapuuzi.
Hao vibaka huwa wanawashambulia Chadema peke yao kwa nini? kuanzia Alphonce Mawazo, Lissu, diwani kule Iringa, na wengine...
Kama ni vibaka tu wa hayo matukio kwanini hatuoni polisi hata wakiwakamata wahusika, hivi nyie ni vipofu wa aina gani mliozoea kuona damu ya wapinzani inamwagika halafu mnaendelea kuleta upuuzi wenu hapa?
Kama polisi wanashindwa kuwakamata hao watu, mnataka tuamini vipi tofauti? kwanini hao vibaka hawawezi hata mara moja kuwashambulia na viongozi wa CCM nao tuone?
Msitake kuleta ustaarabu wenu wa kijinga wa maigizo usio na maana, nyie ndio mnaoleta siasa za kipuuzi, mnataka kutuaminisha ni vibaka wasiokamatwa siku zote, mnaleta hisia zenu za "vita ya ndani ya kwa ndani", hiyo vita ya ndani ndio ilisababisha Mawazo afe? nyie ni wapuuzi, kama ni hivyo kwanini polisi hawawakamati hao wahalifu?
Nyie ni wanafiki, wenye malezi ya kinafiki.
Unampangia mtu muda wa kurudi kwake au kuna sheria yoyote inayoweka limit mtu kurudi usiku?Saa 6 usiku? Alikuwa anatoka wap? kuna shughuli za Chama muda huo zinafanyika?
Nyie acheni kutumia huruma ya wananchi kuingia ikulu,haitawabebaNdiyo mlivyopanga baada ya kumshindwa kwenye nyanja zote. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kuendelea kutawala.
Ishu siyo hana walinzi,ishu ni nani hawa wanaopanga na kuwapiga na kuwavamia viongozoi wa chadema na serikali ipo na imeshindwa kuwapata na kuwatambuaMbowe hana walinzi?
Kama hii habari ni ya kweli basi CHADEMA ni sikio la kufa lisilosikia dawa!
Jombaa, madhaifu yako ya kupenda milupo usiyafananishe na watu mwingine. Watu makini hufanya "networking" nyakati za usiku kwa ajili ya "vital issues".Suala la muda siyo hoja dhaifu ukitilia maanani umri wake ni mtu mzima, ana mke, na ana wadhifa mkubwa!! Ni aibu ilioje mume wa mtu kufanya matembezi usiku wa manane ukijirusha (bila shaka na makahaba), mkeo unamwachia nani?
Hapana mkuu,nazungumzia genge la wahuni chadema kuitafuta ikulu kwa udi na uvumbaUnazungumzia mangula kuwekewa sumu pale Lumumba ?