Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Umejionea mwenyewe Mmawia
 
Nahisi ungeweza kuandika cha maana zaidi ya haya. Rais siyo kiumbe wa kusifiwa tu kama mbwa wa Polisi. Mabaya atendayo lazima yatajwe.
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Mzee Mohamed Said acha udini. Kipindi Cha Magufuli ID yako hii ulikuwa huitumii, umeona ameingia rais Muislam ukaanza tena udini wako. Unayo-post kwenye kwenye lile jukwaa la historia umeona hayatoshi? Mzee mzima hovyo kabisa.
 
Mmebakia porojo tu tumeishawazoe.
Diaspora Mangekimambi alone aliisimamisha nchi nzima Na Sherehe za Muungano zikafutwa.
Mange alifanya maandamano ubalozi wa Tanzania Washington na wengine UK wakamuunga mkono.
Leo Chadema na Space mmeshindwa kuleta meaningful protest in UN
Mzee Mohamed Said acha ujinga wako. Udini umekujaa mpaka kisogoni. Tunajua sana hii ID ni yako na ushahidi tunao.
 
Mmebakia porojo tu tumeishawazoe.
Diaspora Mangekimambi alone aliisimamisha nchi nzima Na Sherehe za Muungano zikafutwa.
Mange alifanya maandamano ubalozi wa Tanzania Washington na wengine UK wakamuunga mkono.
Leo Chadema na Space mmeshindwa kuleta meaningful protest in UN
Wakati wa giant mwendazake ulikunja mkia ndani kama mbwa Koko, ukawa unaingia JF kwa kujificha. Sasa unaongea hovyo, shen.zi kabisa.
 
Mzee Mohamed Said acha udini. Kipindi Cha Magufuli ID yako hii ulikuwa huitumii, umeona ameingia rais Muislam ukaanza tena udini wako. Unayo-post kwenye kwenye lile jukwaa la historia umeona hayatoshi? Mzee mzima hovyo kabisa.
Macho...
Hapana si mimi huyo kama nilivyokwisha kutanabaisha.
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Walevi hawa watoto wa vigogo walioiba mabilioni yetu na kwenda kuyatafunia marekani.
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403

Yote yanaweza kuwa sawa kuna diaspora ambao kitu kikubwa kwao ni haki na demokrasia na wengine ni kuweka support kwa Mama. Kila mtu ana uzito wake lakini si kweli kwamba kuna upande mmoja. USA ni nchi ya kidemokrasia
 
Kiongozi hata awe mbaya vipi wapo watakaomuunga mkono sababu wananufaika nae, na kiongozi hata awe mzuri vipi wapo watakaompinga sababu hawanufaiki naye, hao ni wanufaika wa yanayoendelea......!!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 pale unapotia
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Akili KUNAKO V.i.m.a......😁🤣🤣🤣😃😃
 
roho mbaya ni sifa kuu ya maskini na wewe ni mmoja wao, kula uwembe
Idiot mkumbwa. Tunataka kumuunga mtu mkono kwa hoja and not huu ujinga wa kumsifia mtu bila kuwa na hoja. Ndiyo haya haya baadhi ya pimbi walikuwa wanampamba Dkt Magufuli leo hii hayupo wanaanza kumtukana na kumdhihaki simply because hayupo duniani. Hatutaki huu ujinga ujirudie kwa Mama, wanafiki wote wakae pembeni tunataka watu wanaotoa sifa za kihoja.
 
Lov
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Loveness Mamuya wenye Chako.
 
Back
Top Bottom