Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
Hao unaouzungumza wameandaliwa na ubalozi wa Marekani na wengi ni wafanyakazi ndani ya ubalozi huo !Idiot
 
Mmebakia porojo tu tumeishawazoe.
Diaspora Mangekimambi alone aliisimamisha nchi nzima Na Sherehe za Muungano zikafutwa.
Mange alifanya maandamano ubalozi wa Tanzania Washington na wengine UK wakamuunga mkono.
Leo Chadema na Space mmeshindwa kuleta meaningful protest in UN
Utasikia tulikuwa elfu 6 kwenye space ya maria
 
Huo ndio upumbavu wenu. Wamepewe pesa na nani? Nani asiyejua habari za Mbowe duniani? Naomba usiniudhi na ujinga ujinga wenu hapa.
Sasa si uende ukajilipue umtoe kwa nguvu kuliko kujibaraguza hapa?
 
Hii ndio tabia ya kichawi, kujipendekeza, kujikomba na kufuta viatu vya wahalifu kwa makalio.

Umasikini uliotopea wa akili hupotosha uono sahihi na kufikiri.
Iwapo kuna binadamu wwngine wanateswa bure unapata wapi uhalali wa kuwasifia waonevu.
Huna tofauti na Intarahamwe kenge wewe
Nani anateswa?
 
Angalia walivyochoka najua uwezi kukubali.
Kumbuka hata sisi huku tumechoka ,hata waliotuwakilisha Ni Wachovia wenzetu hakuna shida!Keanu kuna CCM aliyechoka??Kwani kuna CCM asiye na hela hapa Tanzania?Waliochoka ni wapinzani!
 
Kwani wewe kinacho kuuma ni kipi?MBOWE amefungwa Kama ulivyo tarajia furahi na familia kwakuwa MBOWE kufungua kwake kumemuondolea Mama yako kansa ya kizazi
Manka hizi hasira nenda kazioneshe pale mahakamani ili ujumbe ufike duniani kote.

Hivi hamjajifunza hata kwa wafuasi wa zuma?

Siyo mnakuja humu mnatikisa mikia eti tulikuwa elfu 6 kwenye space ya maria, alafu hata kusogeza pua zenu tu pale hamthubutu.
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
Haha akina Mange jana wametukana leo marafiki, nimeona wale wengi watu wa SACCOS ambao wakati wa mwendazake walikuwa ndio mstari wa mbele kumpinga leo hii nawaona na vibendera vya kumkaribisha mama, kama huu si unafika sijui tuuiteje.Ni kama vile mama balozi kapiga PR ya nguvu kwa Diaspora wenzake ili kujitokeza kwa nguvu na vifulana vyao vya kuonyesha mageuzi mapya, sijui mama balozi kawa ahidi nini hao akina Mange
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.
Mbona hukuwahi kutoa hayo mapongezi yako wakati w a Magufuli?
 
Mmebakia porojo tu tumeishawazoe.
Diaspora Mangekimambi alone aliisimamisha nchi nzima Na Sherehe za Muungano zikafutwa.
Mange alifanya maandamano ubalozi wa Tanzania Washington na wengine UK wakamuunga mkono.
Leo Chadema na Space mmeshindwa kuleta meaningful protest in UN
Visandarusi bado vipo?
 
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Idiot ndiyo maana nchi haiendelei. Kumpenda mtu is not a problem. Waje na issue za kumuunga mkono siyo kujishebedua kujipendekeza tu
 
Back
Top Bottom