Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

Mleta mada ni vyema ungeacha kuandika kuliko kuandika upuuzi na ujinga huu.
Kwanini hao waliomsindikiza SSH wasiwe ndio wajamaika waliohongwa fedha?
Unajua sio ngumu na haichukui muda kumsoma au kumjua mtu mpuuzi!
 
Bavicha bana mnasema Tanzania hamna uhuru wa habari wewe tena haitaki mimi niongee daaah.
 
Bavicha bana mnasema Tanzania hamna uhuru wa habari wewe tena haitaki mimi niongee daaah.
Kwa hili nakuunga mkono Ritz...naweza kuwa sikubaliani na hoja zako lakini nitakuwa tayari kutetea uhuru wako wa kuandika..Bavicha kama ambavyo ninyi mna uhuru wa kuandika muacheni Ritz nae aandike anachoamini!
 
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la JMT,

||Wasikilizeni vizuri hao wazalendo wenzetu wa diaspora kisha fanyeni yafuatayo||

|| Angalieni uwezo wao wa hoja ( mental capacity ) yao mkiweza fananisheni na ile ya Wale wenzetu||

|| Angalieni hata kiwango cha afya kwa maana ya mwili ( health status) yao na ile ya Wale wenzetu ||

Mungu Ibariki Tanzania na Watanzania
Mungu mbariki Rais Samia,

.........Kazi iendelee .........
 
Attachments

  • VID-20210924-WA0035.mp4
    7.2 MB
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

View attachment 1950403
Hawa nao hawajitambui kabisa......hivi hawajui ndugu zao waliowaacha Tanzania wanapigika vipi na maisha wakati kikundi cha wana CCM wananufaika kwa jasho lao?? Mambo mengine tuwe tunafanya kwa kufanya uchunguzi kwanza.......tunaichekesha Dunia.
 
Kwa Tz wasomi ndo wanaongoza kwa ujinga na ndo maana huyv bibi tozo anasifiwa na walioko mitandaoni na hao diaspora wakati huku mtaani maskini watafutaji wanamwita pimbi. Wengine wakimuona kwenye Tv huzima kabisa, wakimsikia redioni wanazima kabisa. Anafaa kuitwa raisi wa mtandaoni a.k.a tozo lady.
 
Kuwa na vyama tofauti hakutoi idhini ya kuchafua nchi yako. Tunaweza kuwa na tofauti zetu ndogo za ndani lakini Kimataifa Rais wetu anapokwenda sehemu sote tunapaswa kuungana. Ndiyo ukomavu. Ningeshangaa mabango ya kihuni yangeonekana ziara ya Rais kule US. Hongera diaspora kwa nidhamu na uzalendo.
 
Kwa Tz wasomi ndo wanaongoza kwa ujinga na ndo maana huyv bibi tozo anasifiwa na walioko mitandaoni na hao diaspora wakati huku mtaani maskini watafutaji wanamwita pimbi. Wengine wakimuona kwenye Tv huzima kabisa, wakimsikia redioni wanazima kabisa. Anafaa kuitwa raisi wa mtandaoni a.k.a tozo lady.
Unategemea nini hawa ndiyo viongozi wa Chadema wanataka katiba mpya🤣🤣
 
Back
Top Bottom