Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Binafsi Niko tayari kwa lolote, muda wowote, mahali popote.. nitasonga front.

#HakiKwanzaAmaniYaKweliInafata
 
Safi sana Chadema na ACT. Haya ndo maamuzi niliyokuwa nayatarajia. Tukikalia kimya udhalimu huu nawahakikishieni, watanzania kwenye hii miaka 5 tunaenda kuchinjwa kama kuku...
Hivi nyie mnataka Lisu aongee lugha gani kama anataka muandamane?
 
Huna jipya, unakazania tu wagomee uchaguzi nothing else, ukiambiwa mbona walishagoma hakuna kilichobadilika huna majibu, akili imekuganda kama jiwe.
Kuna mwandishi kauliza swali zuri sana kwamba itawezekana vipi kuundwa kwa tume huru alafu vyombo vya usalama vibakie kama vilivyo?

Lisu kajaribu kujibu ila nae kaona ni ngumu, maana ili kupata hayo yote lazima uanzie kwenye katiba.
 
VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ... Wewe waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family ... yaani mtapigwaaa ... vibayaa sanaa yaan atakaye sapot hivi vitu hatokuja kusahau katika maisha yake kama atakuwa hai
 
VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ....we waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family .....yaan mtapigwaaa .....vibayaa sanaa yaan atakaye sapot iv vituu hatokuja kusahau katik maisha yak kama atakuwa hai

Uoga wako mpelekee mkeo nyumbani. Acha wanaume tuingie kazini.
 
Uchaguzi umeshaisha jamani. Kwa sasa tujenge nchi.
Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hiyo huzuni imejaa waoi?

Sema imejaa kwenye familia zenu wana ufipa baada ya Lisu kudondokea pua
 
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO.

Aliyoyafanya tarehe 28/ 10/ 2020 ni mwanzo tu wa yeye kuwa RAIS wa MAISHA. Yaani atawale mpaka atakapokufa akiwa madarakani kama walivyo akina Museveni wa Uganda au Paul Kagame wa Rwanda. Ametengeneza Bunge butu la YES MEN ambalo haliwezi kuhoji chochote ikiwa ni pamoja na KUBADILI KATIBA na kuondoa kifungu cha ukomo wa madaraka.

Atakuja kwa kisingizio cha kumaliza miradi ya SGR na STIGLERS Gorge kama justification ya yeye kuendelea kura wake.

WATANZANIA musiwe MAKONDOO amkeni mukadai HAKI yenu. Mbona Taifa dogo na maskini kama MALAWI linajitambua na limethubutu kumtoa PETER MUTHARIKA aliyekuwa kjng'anizi? WATANZANIA munaogopa nini?
 
Back
Top Bottom