Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

badili jina la uzi
maana ulichouliza na kuongea ndani ni vitu viwili Tofaut
 
badili jina la uzi
maana ulichouliza na kuongea ndani ni vitu viwili Tofaut
Bora umeelewa. Watanzania hatuko tayari kufanywa shamba la bibi kwa uroho wa madaraka wa baadhi ya wanasiasa. Mambo yakiharibika wao hawaumii bali watanzania wa hali ya chini ndio watalipa hizo gharama. Mimi nimekataa
 
Vyama hivi havikupaswa kuvitenga vyama vingine vya upinzani kwenye hili. Kama malalamiko yao yana msingi basi ilipaswa vyama vingine vya upinzani viwaunge mkono. Kukosekana kwa vyama hivyo kunawakata mkia katika mpango huo wao.
Hujui kuwa hivo vyama vingine, baadhi vilianzishwa na ccm na vingine vimenunuliwa na ccm. So, kimsingi hivyo vyama mamluki vinamilikiwa na ccm!!!
 
Nitapigania amani ya nchi hii mpaka tone la mwisho la damu yangu. Siwezi hata kidogo kuruhusu uvunjifu wa amani etinili mtu flani aende ikulu. Nasema hapana na nikiwa Kama raia ninayejitambua, nachukua fursa hii kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vucbukue hatua stahiki haraka iwezekanavyo na vikizembea namuomba Rais aviwajibishe Mara moja.

Tanzania ndio inapokea wakimbizi na kamwe watanzania hawawezi kuwa wakimbizi.

I wish ningekuwa na mamlaka flani
Mkuu upo darasa la ngapi?!
 
Mimi ninaapa mbele ya Mungu wangu, sitaweza kuanzisha maandamano Jumatatu lakini wakiandamana hata watu watatu basi nitakuwa kati yao. TUSEME INATOSHA NA UKOLONI HUU
 
Nyinyi ni walewale wenye mawazo ya kimaskini.

Bodaboda ni ajira gani ya vijana kujivunia?

Kama ulifikiria bodaboda ni ajira wewe sijui umekula mihogo ya wapi?

Ni aibu kubwa kujivunia kwamba Vijana wanaajiri yaani bodaboda shame on you

Siku zote masikini hafanikiwi kwa sababu anawaza ameshikiria tumbo

Kuondoa mfumo wa vyama vingi ni pigo kuanzia aliyewaza hili,aliyetekeleza na anayepongeza na kuliishi!

Ktendo hiki ni umasikini tu!

Kwa taifa, viinchi vilivyo dhubutu kufanya hivi leo amani wanaisikia kwa Abdalah!

Ukichezeaa haki,amani inaishia hapo ikinachofuta ni hatari
 
Nimeona niwakumbushe tena Makamanda wa Chadema kua wasipende kua wavivu wa kufanya vitu alafu wanalaum matokeo.

Chadema waliambiwa wakapige kura ili wamchague kiongozi wanae mtaka hawakwenda na wameamua kubaki na lawama kwa watu.

Ningependa niwashauri keyboard woria jua tar 2 siku ya J3 ni siku ya wao kudai haki yao kwa Maandamano ivyo bas itakua sio uungwana kwa wao siku io kuchagua kua nyuma ya kibod kwa kujificha kwenye uzi za kinacho endelea kwenye Maandamano kwa picha.

Siku io hatutaki uzi umu tunawataka nyie barabarani.
 
Hawa ni machizi unashiriki hatua zote, unapiga mpaka kura, matokeo yanatoka unasema haukuwa uchaguzi semeni tu kwa hasira kila mmoja wenu hapo ni 'loser'
 
Milion 12 ni wa NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm siyo watanzania halisi kwa kifupi CCM imepanyikwa ikulu kwa kura za kutengenezwa tu kwa njia haramu za kishetani siyo kwa sanduku la kura
Hizi ndio imani zenu za kijinga kwayo mnadhani walio ipigia CCM wapo 1M.

Subirini mtashangaa ingieni barabarani muone.
 
Back
Top Bottom