Kitu chenyewe naamini ni kuwa Museven atapangua io hoja na Marekani ataendelea kufanya kazina Uganda
 
Uganda ilitakiwa ijiandae kwa kuwa independent kiuchumi,kísiasa,kijamii hata na kiuchumi pia.Itamuumiza sana kiuchumi na possibly ndo anaenda kuondoka softly au in a hard way.Hili jambo la ushoga na usagaji,lipo miaka na miaka na na haliwezi kumalizwa kiurahisirahisi kwa kasi yake ilivyotamalaki sasa.Mu7 angelikalia kimya huku wizara yake ya utamaduni ikilinda maadili kwa kutoa elimu kila uchwao kwa wananchi,ili maadili yaendelee kilindwa kama Zamani.Watakaopotoka wapotoke kivyao,na watakaofuata maadili wafuate kimyakimya kama ilivyokua kipindi cha nyuma.Inasikitisha sana mtu kuwa shoga,ila sasa kutunga sheria ngumu,sidhani kama ni suluhu,matokeo yake nchi yake huyu Mu7,itakosa madawa na misaada mingine,na suluhu itakua kufa au kuuawa na wazungu directly au indirectly.
Umenena mkuu, mambo mengine ukitumia nguvu unaharibu zaidi,
Embu imagine binadamu anavunja amri za Mungu aliyemuumba sembuse Sheria za bunge
 
Naona spika wa Uganda kafutiwa Visa na Marekani. Museven kanyaga twende inabidi kuilinda human race isijimalize kama ambavyo mtu akitaka kujiua ni kosa.
Unamnyima Speaker wa Kiafrika Visa ya Marekani, umemkosesha nini, kuingia apple store ya Washington DC ????

bata anaokula spika wa kiafrika hapa hapa Afrika hata spika wa Marekani hamfikii.... mi stress ya uspika aliyonayo Speaker McCarthy anatamani kesho asubuhi aende kupumua Maasai-Mara.... Wiki nzima wanabishana na Biden kwenye budget ceiling, Ulaya wanawasubiri wao, wanakwamisha dunia, ....

Speaker Tulia Ackson wiki hii yuko SADC anagombea urais wa maspika, katumwa na serikali, nina hakika wamemweka kwenye li hoteli huko South Afrika or Namibia or whatever the freaking country she is at, ambako hakukosi mabafu yanayompiga masaji na mivuke while getting effed up on Hennessy and Alizee, kama mihoteli ya California... courtesy of the Govt of Tanzania. The eff she wanna go to Brooklyn for ???
 
Sometimes wazungu Huwa ni wapumbavu sana wanadhani mpango wao wa kupunguza idadi ya watu kupitia ushoga utafanikiwa.
Vita vimeshindwa, uzazi wa mpango umeshindwa,Kila mbinu Yao imeshindwa.
Huwezi shindana na nature.
Huwezi zuia watu wasizae.
Hawa kina rocafella na kina rothchild watatapata tapa sana.
 
Endapo Watoto wetu wakatueleza ukweli mapungufu yetu tuwahadhibu kwa kuwanyima chakula?
Nilichogundua hapa Virus wa Ukimwi ametengenezwa maabara hili waweze kututawala vizuri kwa kisingizio cha dawa.
 
Rais wa Marekani ni Mkatoriki nashangaa kwa kutofuata misingi ya Biblia. Nahisi hana washauri ktk kuabudu (Imani) ya Dini yake. Mara nyingi washauri wa Mme huwa ni Familia na Kiongozi wake wa Dini anakosari.

Yeye Kama Mkristo hata kama Sera ya Taifa lake ni Uenezaji Ushoga na labda kutoa Mimba, yeye ajarbu kuwa mtetezi kwa kukaa kimya. Hili awe kielelezo kwa Mataifa yenye kuabudu kwa Sheria za Mungu muhumba Mbingu na Nchi.

Naweza kutafsri demokrasia ya TAIFA hili Kama iliyopitiriza, na nimshauri Kiongozi wangu ambaye ni Rais hasimsikirize na wala hakuna haja ya kutunga Sheria maana sio utamaduni wa Mwafrica. Ila Tasisi za Dini zihamrishwe kuwa na sera ya kupinga Ushoga, ubahasha na usagaji na pia ktk Mitahara ya Elimu liwekwe hili.
 
Misingi ya Biblia inaruhusu kuua watu wasio na hatia kama Putin anavyofanya??
 
Ushoga Sio utamaduni wetu waafrika mkuu
Utamaduni wako ulikufa pale tu ulipoacha kuvaa ngozi na kaniki ukaanza kuvaa suti,

Utamaduni wako ulikufa pale tu ulipoacha Dini yako ya Asili na kuifata ya Mzungu na Muarabu,

Utamaduni wako ulikufa pale tu ulipoacha kulima na kuchunga ng'ombe na kuikimbilia elimu ya wakoloni,

Utamaduni wako ulikufa pale tu Muarabu na Mzungu alipoanza kuwafanyisha kazi ngumu na kuwapiga mijeledi kwenye ardhi yenu,

Mtu mweusi ni dhalili, hana utamaduni isipokua alioletewa, hawezi kujisimamia mwenyewe hadi asimamiwe.
 
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.

Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye vitendo vya ushoga kutumikia hadi kifungo cha maisha jela.

Biden amesema ameliagiza Baraza la Usalama la Kitaifa la Ikulu ya Marekani kutathmini athari za sheria katika nyanja zote za ushirikiano wa Marekani na Uganda, ikiwa ni pamoja na uwezo wa Marekani kusitisha kutoa huduma za usalama chini ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kusaidia maambukizi ya UKIMWI (PEPFAR) na aina nyingine za msaada na uwekezaji.

Biden amesema Serikali yake itazingatia athari za sheria hiyo kama sehemu ya mapitio yake ya kustahiki kwa Uganda kwa Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA), ambayo inatoa matibabu bila ushuru kwa bidhaa za nchi zilizoteuliwa za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Hahahhahaha

Huku wanataka ukimwi uishe ambao unaambikizwa sana na mashoga huku wanataka ushoga uendelee.

Hao Wamerekani siyo wa kuwaendekeza ni ma ibilisi mashetani wakubwa.

Museveni uzi huohuo tunakuunga mkono.
 
Division foo nashukuru kwa ku like comment yangu hapo juu, inaonesha hata wewe hiyo hali huipendi ila from no where unajikuta umeingia kwenye mfumo hatari kiroho na kimwili.

Worry out Division foo, God is there to save you.

You will witness the grace of God and become ambassador of kingdom of heaven.
 
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.

Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye vitendo vya ushoga kutumikia hadi kifungo cha maisha jela.

Biden amesema ameliagiza Baraza la Usalama la Kitaifa la Ikulu ya Marekani kutathmini athari za sheria katika nyanja zote za ushirikiano wa Marekani na Uganda, ikiwa ni pamoja na uwezo wa Marekani kusitisha kutoa huduma za usalama chini ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kusaidia maambukizi ya UKIMWI (PEPFAR) na aina nyingine za msaada na uwekezaji.

Biden amesema Serikali yake itazingatia athari za sheria hiyo kama sehemu ya mapitio yake ya kustahiki kwa Uganda kwa Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA), ambayo inatoa matibabu bila ushuru kwa bidhaa za nchi zilizoteuliwa za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Biden kama anapenda sana ushoga si atafute mwanaume wa kumuoa.. Biden is the useless ever president of US in history, Lazy Joe ni jinga sana
 
Ukiwa timamu huwezi kua shoga.
Wanaume wote tumezaliwa tu wanaume ila makuzi na malezi na changamoto za maisha zimefanya wengine wawe mashoga.

Hawa watu kama serikali zikitaka waacha hiyo kitu basi ni elimu tu. Hii fungia fungia, ua na mikwara ya hapa na pale sijui kama inasaidia kiivo.

Ni jambo la siri, watu wakijificha porini huko nani atawaona, vyumbani humo nani anachungulia. Mwisho wa siku ni mtu mwenyewe ajijue na aache kwa hiari.
Ngada na ushoga ni uraibu sawa tu, sio mambo ya kawaida kwa binadamu ila kuyaacha ni kazi.
 
Waafrika bado tumetawaliwa, bado ni watumwa, hatupo huru ndio maana Mambo Kama haya yanatokea. Kama tupo huru kwanini maamuzi yetu hayapewi nafasi dhidi yao?
 
Back
Top Bottom