Kenya njiapanda Muswada wa kupinga ushoga. Yatakiwa kuchagua kupoteza Shs.Trilion 4.2 za Wafadhili au kupitisha Sheria ya Kupinga Ushoga

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Wataamu wa Uchumi Kenya wameonya Serikali dhidi ya Madhara ya Kupitisha mswaada wa kulinda jamii unaopiga marufuku masuala ya ushoga wakisema italeta Madhara kwenye uchumi,siasa na jamii ilhali Kenya inategemea Msaada kutoka Nchi za Magharibi.

Kama Kenya itaamua Kupitisha itapoteza pesa hizo kiasi Cha Shilingi za Tanzania Trilioni 73 au Dola bil.28 za Marekani.

Hivyo Serikali ya Ruto Iko Njiapanda na inatakiwa kuchagua kati ya mambo hayo mawili.

Swali.
Uganda wamejitutumua,Kenya ndio hao wanajifikiria ,Tanzania tunasimamia wapi?

Ikumbukwe Kuna Wakenya kadhaa Mashoga Wameolewa huko Ubeberuni 🤣🤣🤣🤣

=====

Kenya kupoteza Sh4.2 trilioni tabia za ushoga zikizimwa – Taifa Leo

NA MARY WANGARI

KENYA huenda ikapoteza kiasi kikubwa cha pesa iwapo Rais William Ruto ataidhinisha kuwa sheria Mswada wa Linda Jamii unaodhamiria kupiga marufuku makundi ya mashoga na wasagaji (LGBTQ) nchini.

Ripoti mpya iliyotolewa Jumatatu na Shirika la Trailblazers Business Strategists (TBS) inakadiria kuwa Kenya inakabiliwa na tishio la kupoteza kiasi cha Sh4.186 trilioni endapo mswada huo uliowasilishwa na Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma utapitishwa.

Kando na athari za kiuchumi, wataalamu wameonya kuwa hatua hiyo itakiuka Kifungu cha 7 cha Sheria ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Haki za Kibinadamu, uliotiwa saini na Kenya tangu ilipopata uhuru mwaka 1963.

Akizungumza katika uzinduzi wa ripoti hiyo, Mtaalamu wa Masuala ya Uchumi na Sayansi za Kijamii Profesa Fred Ogola, aliwahimiza waundaji sera kuwa makini kabla ya kupitisha sheria zinazoweza kuathiri nchi kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Kulingana na Profesa Ogola, uchumi wa Kenya unategemea pakubwa ufadhili kutoka kwa mataifa ya Magharibi yanayosisitiza kuhusu haki za LGBTQ.

Aidha, anaonya kuwa hatua ya kupitisha sheria hiyo huenda ikaathiri mvuto wa Kenya kama kituo cha uwekezaji na utalii.

Kwa sasa, Kenya hupokea kila mwaka takriban Sh446.7 bilioni kutoka kwa Amerika na Sh713.2 bilioni kutoka kwa Umoja wa Ulaya kufadhili maendeleo.

“Kupitisha sheria kama hiyo huenda kukasababisha kufungiwa nje na wawekezaji wa kigeni, hususan kutoka nchi za Amerika, Umoja wa Ulaya na Uingereza zinazopigia debe haki za LGBTQ katika sera zao,” ilisema ripoti hiyo.

“Taswira hasi kimataifa kuhusu sheria kama hizo huenda ikazuia wawekezaji wa kigeni na kulemaza utalii hali ambayo huenda ikaathiri sekta mbalimbali za kiuchumi.”

Ripoti hiyo imetoa wito kwa waundaji sera “kutathmini kwa makini gharama zote za kifedha na zisizo za kifedha, na kuzingatia nyanja mbalimbali zinazohusika kufanya maamuzi mwafaka yanayoambatana na msimamo wa Kenya kuhusu haki za kibinadamu na maazimio ya kimataifa.”

Utafiti huo uliangazia vigezo kadhaa ikiwemo mtazamo wa wawekezaji na athari kiuchumi, miundomsingi ya magereza na idadi ya wafungwa, fedha zitakazotumiwa na serikali ikiwemo kuandika upya nakala rasmi.

“Ukiukaji wa kanuni yoyote ile miongoni mwa masharti haya huenda ukasababisha ufadhili wa kifedha kusitishwa. Iwapo mswada huo utaidhinishwa kuwa sheria, Kenya ni sharti iwe tayari kupoteza Sh4.189 trilioni.”

Kiasi hiki cha fedha, jinsi alivyofafanua, kinajumuisha “takriban Sh446.7 bilioni kila mwaka zinazopokewa na Kenya kutoka Amerika kufadhili miradi ya kiuchumi na maendeleo. Karibu Sh446.7 milioni kila mwaka zinazotolewa na Amerika kama msaada wa kibinadamu kwa Kenya (kwa kuzingatia kiasi kilichopatiwa Kenya 2022 pekee) na Sh713.2 bilioni zinazotolewa na Umoja wa Uropa kufadhili maendeleo nchini kupitia Mikakati ya Ushirikiano wa Pamoja 2018-2022.”

“Sh2.4 bilioni zinazotolewa na Uropa kama msaada wa kibinadamu, Sh238 milioni za kufadhili mikakati ya kujikinga na majanga zilizotolewa na EU mwaka 2023, Sh148.9 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kwa Kenya mnamo Julai 2023, Sh82 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kufadhili juhudi za Kenya za kutaka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, takriban Sh11 bilioni za kutekeleza mswada huo na mabilioni ya fedha zitakazotumka kufidia hasara katika sekta ya utalii kutokana na taswira mbaya ya Kenya kutoka kwa jamii ya kimataifa,” alifafanua.
 
Kwani hiyo Sheria ndo itawabaka watu na kuwalazimisha waoane?
Yani ukose pesa za miundombinu na madawa na kukuza uchumi kisa mijitu ambayo hata ukitunga Sheria ya kuzuia itakuwepo tu, ipo na kwa utashi wao wameamua kuwepo.
 
Hao wataalum wa uchumi hawana mawazo mbadala mi ningefukuza wote wakalale huko
Waafrika lini tuliwahi kuwa na mawazo mbadala, tunaona fahari kuishi Kwa kuomba omba na kusaidiwa.
Halafu wanawake tukiapply uafrika wetu kwenye mahusiano mnatuita kaushadamu.....kuomba omba kupo kwenye genes🤣
 
Wanasababisha nyeti zetu ziwe hatarini...😂
We nawe umekuja na lako la kausha damu naona ulikuwa umelitunza tu! Utakuwa salama kweli na hiyo kausha damu yako...?
 
Wataamu wa Uchumi Kenya wameonya Serikali dhidi ya Madhara ya Kupitisha mswaada wa kulinda jamii unaopiga marufuku masuala ya ushoga wakisema italeta Madhara kwenye uchumi,siasa na jamii ilhali Kenya inategemea Msaada kutoka Nchi za Magharibi.

Hivyo Serikali ya Ruto Iko Njiapanda na inatakiwa kuchagua kati ya mambo hayo mawili.

Swali.
Uganda wamejitutumua,Kenya ndio hao wanajifikiria ,Tanzania tunasimamia wapi?

Ikumbukwe Kuna Wakenya kadhaa Mashoga Wameolewa huko Ubeberuni 🤣🤣🤣🤣

=====

Kenya kupoteza Sh4.2 trilioni tabia za ushoga zikizimwa – Taifa Leo

NA MARY WANGARI

KENYA huenda ikapoteza kiasi kikubwa cha pesa iwapo Rais William Ruto ataidhinisha kuwa sheria Mswada wa Linda Jamii unaodhamiria kupiga marufuku makundi ya mashoga na wasagaji (LGBTQ) nchini.

Ripoti mpya iliyotolewa Jumatatu na Shirika la Trailblazers Business Strategists (TBS) inakadiria kuwa Kenya inakabiliwa na tishio la kupoteza kiasi cha Sh4.186 trilioni endapo mswada huo uliowasilishwa na Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma utapitishwa.

Kando na athari za kiuchumi, wataalamu wameonya kuwa hatua hiyo itakiuka Kifungu cha 7 cha Sheria ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Haki za Kibinadamu, uliotiwa saini na Kenya tangu ilipopata uhuru mwaka 1963.

Akizungumza katika uzinduzi wa ripoti hiyo, Mtaalamu wa Masuala ya Uchumi na Sayansi za Kijamii Profesa Fred Ogola, aliwahimiza waundaji sera kuwa makini kabla ya kupitisha sheria zinazoweza kuathiri nchi kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Kulingana na Profesa Ogola, uchumi wa Kenya unategemea pakubwa ufadhili kutoka kwa mataifa ya Magharibi yanayosisitiza kuhusu haki za LGBTQ.

Aidha, anaonya kuwa hatua ya kupitisha sheria hiyo huenda ikaathiri mvuto wa Kenya kama kituo cha uwekezaji na utalii.

Kwa sasa, Kenya hupokea kila mwaka takriban Sh446.7 bilioni kutoka kwa Amerika na Sh713.2 bilioni kutoka kwa Umoja wa Ulaya kufadhili maendeleo.

“Kupitisha sheria kama hiyo huenda kukasababisha kufungiwa nje na wawekezaji wa kigeni, hususan kutoka nchi za Amerika, Umoja wa Ulaya na Uingereza zinazopigia debe haki za LGBTQ katika sera zao,” ilisema ripoti hiyo.

“Taswira hasi kimataifa kuhusu sheria kama hizo huenda ikazuia wawekezaji wa kigeni na kulemaza utalii hali ambayo huenda ikaathiri sekta mbalimbali za kiuchumi.”

Ripoti hiyo imetoa wito kwa waundaji sera “kutathmini kwa makini gharama zote za kifedha na zisizo za kifedha, na kuzingatia nyanja mbalimbali zinazohusika kufanya maamuzi mwafaka yanayoambatana na msimamo wa Kenya kuhusu haki za kibinadamu na maazimio ya kimataifa.”

Utafiti huo uliangazia vigezo kadhaa ikiwemo mtazamo wa wawekezaji na athari kiuchumi, miundomsingi ya magereza na idadi ya wafungwa, fedha zitakazotumiwa na serikali ikiwemo kuandika upya nakala rasmi.

“Ukiukaji wa kanuni yoyote ile miongoni mwa masharti haya huenda ukasababisha ufadhili wa kifedha kusitishwa. Iwapo mswada huo utaidhinishwa kuwa sheria, Kenya ni sharti iwe tayari kupoteza Sh4.189 trilioni.”

Kiasi hiki cha fedha, jinsi alivyofafanua, kinajumuisha “takriban Sh446.7 bilioni kila mwaka zinazopokewa na Kenya kutoka Amerika kufadhili miradi ya kiuchumi na maendeleo. Karibu Sh446.7 milioni kila mwaka zinazotolewa na Amerika kama msaada wa kibinadamu kwa Kenya (kwa kuzingatia kiasi kilichopatiwa Kenya 2022 pekee) na Sh713.2 bilioni zinazotolewa na Umoja wa Uropa kufadhili maendeleo nchini kupitia Mikakati ya Ushirikiano wa Pamoja 2018-2022.”

“Sh2.4 bilioni zinazotolewa na Uropa kama msaada wa kibinadamu, Sh238 milioni za kufadhili mikakati ya kujikinga na majanga zilizotolewa na EU mwaka 2023, Sh148.9 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kwa Kenya mnamo Julai 2023, Sh82 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kufadhili juhudi za Kenya za kutaka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, takriban Sh11 bilioni za kutekeleza mswada huo na mabilioni ya fedha zitakazotumka kufidia hasara katika sekta ya utalii kutokana na taswira mbaya ya Kenya kutoka kwa jamii ya kimataifa,” alifafanua.
Mtakatifu Zakayo ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Kenya hawezi kubali hiyo ujinga kuhalalishwa Kenya.
 
Masikini hana uchaguzi
 
Wanasababisha nyeti zetu ziwe hatarini...😂
We nawe umekuja na lako la kausha damu naona ulikuwa umelitunza tu! Utakuwa salama kweli na hiyo kausha damu yako...?
Usalama utoke wapi? Mie ukinikonyeza tu...gesi inaishia hapo hapo, Bibi yake Bibi anafariki, mjomba anameza Jembe...Yani natia huruma🤣
ni Kama tu vile viongozi wa kiafrika wakienda Ulaya wanavyotia huruma na kutangaza shida hadi wazungu wanatuhurumia wanaona bora wanawake Kwa wanawake na wanaume kwa wanaume waoane ili wapunguziane ugumu wa maisha🤣🤣🤣
 
Dah! We kiboko kwahiyo hapo ulipo mjomba anameza jembe!😂
Sasa ukiwa na mawazo ya namna hii tutafika kweli si ubadirike..
 
Wataamu wa Uchumi Kenya wameonya Serikali dhidi ya Madhara ya Kupitisha mswaada wa kulinda jamii unaopiga marufuku masuala ya ushoga wakisema italeta Madhara kwenye uchumi,siasa na jamii ilhali Kenya inategemea Msaada kutoka Nchi za Magharibi.

Kama Kenya itaamua Kupitisha itapoteza pesa hizo kiasi Cha Shilingi za Tanzania Trilioni 73 au Dola bil.28 za Marekani.

Hivyo Serikali ya Ruto Iko Njiapanda na inatakiwa kuchagua kati ya mambo hayo mawili.

Swali.
Uganda wamejitutumua,Kenya ndio hao wanajifikiria ,Tanzania tunasimamia wapi?

Ikumbukwe Kuna Wakenya kadhaa Mashoga Wameolewa huko Ubeberuni 🤣🤣🤣🤣

=====

Kenya kupoteza Sh4.2 trilioni tabia za ushoga zikizimwa – Taifa Leo

NA MARY WANGARI

KENYA huenda ikapoteza kiasi kikubwa cha pesa iwapo Rais William Ruto ataidhinisha kuwa sheria Mswada wa Linda Jamii unaodhamiria kupiga marufuku makundi ya mashoga na wasagaji (LGBTQ) nchini.

Ripoti mpya iliyotolewa Jumatatu na Shirika la Trailblazers Business Strategists (TBS) inakadiria kuwa Kenya inakabiliwa na tishio la kupoteza kiasi cha Sh4.186 trilioni endapo mswada huo uliowasilishwa na Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma utapitishwa.

Kando na athari za kiuchumi, wataalamu wameonya kuwa hatua hiyo itakiuka Kifungu cha 7 cha Sheria ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mkataba wa Haki za Kibinadamu, uliotiwa saini na Kenya tangu ilipopata uhuru mwaka 1963.

Akizungumza katika uzinduzi wa ripoti hiyo, Mtaalamu wa Masuala ya Uchumi na Sayansi za Kijamii Profesa Fred Ogola, aliwahimiza waundaji sera kuwa makini kabla ya kupitisha sheria zinazoweza kuathiri nchi kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Kulingana na Profesa Ogola, uchumi wa Kenya unategemea pakubwa ufadhili kutoka kwa mataifa ya Magharibi yanayosisitiza kuhusu haki za LGBTQ.

Aidha, anaonya kuwa hatua ya kupitisha sheria hiyo huenda ikaathiri mvuto wa Kenya kama kituo cha uwekezaji na utalii.

Kwa sasa, Kenya hupokea kila mwaka takriban Sh446.7 bilioni kutoka kwa Amerika na Sh713.2 bilioni kutoka kwa Umoja wa Ulaya kufadhili maendeleo.

“Kupitisha sheria kama hiyo huenda kukasababisha kufungiwa nje na wawekezaji wa kigeni, hususan kutoka nchi za Amerika, Umoja wa Ulaya na Uingereza zinazopigia debe haki za LGBTQ katika sera zao,” ilisema ripoti hiyo.

“Taswira hasi kimataifa kuhusu sheria kama hizo huenda ikazuia wawekezaji wa kigeni na kulemaza utalii hali ambayo huenda ikaathiri sekta mbalimbali za kiuchumi.”

Ripoti hiyo imetoa wito kwa waundaji sera “kutathmini kwa makini gharama zote za kifedha na zisizo za kifedha, na kuzingatia nyanja mbalimbali zinazohusika kufanya maamuzi mwafaka yanayoambatana na msimamo wa Kenya kuhusu haki za kibinadamu na maazimio ya kimataifa.”

Utafiti huo uliangazia vigezo kadhaa ikiwemo mtazamo wa wawekezaji na athari kiuchumi, miundomsingi ya magereza na idadi ya wafungwa, fedha zitakazotumiwa na serikali ikiwemo kuandika upya nakala rasmi.

“Ukiukaji wa kanuni yoyote ile miongoni mwa masharti haya huenda ukasababisha ufadhili wa kifedha kusitishwa. Iwapo mswada huo utaidhinishwa kuwa sheria, Kenya ni sharti iwe tayari kupoteza Sh4.189 trilioni.”

Kiasi hiki cha fedha, jinsi alivyofafanua, kinajumuisha “takriban Sh446.7 bilioni kila mwaka zinazopokewa na Kenya kutoka Amerika kufadhili miradi ya kiuchumi na maendeleo. Karibu Sh446.7 milioni kila mwaka zinazotolewa na Amerika kama msaada wa kibinadamu kwa Kenya (kwa kuzingatia kiasi kilichopatiwa Kenya 2022 pekee) na Sh713.2 bilioni zinazotolewa na Umoja wa Uropa kufadhili maendeleo nchini kupitia Mikakati ya Ushirikiano wa Pamoja 2018-2022.”

“Sh2.4 bilioni zinazotolewa na Uropa kama msaada wa kibinadamu, Sh238 milioni za kufadhili mikakati ya kujikinga na majanga zilizotolewa na EU mwaka 2023, Sh148.9 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kwa Kenya mnamo Julai 2023, Sh82 bilioni zilizoidhinishwa na IMF kufadhili juhudi za Kenya za kutaka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, takriban Sh11 bilioni za kutekeleza mswada huo na mabilioni ya fedha zitakazotumka kufidia hasara katika sekta ya utalii kutokana na taswira mbaya ya Kenya kutoka kwa jamii ya kimataifa,” alifafanua.

View: https://www.instagram.com/p/CyNv2eRI4yz/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom