Ghana: Wizara ya Fedha yamuomba Rais asisaini Sheria ya kupinga Ushoga kwa sababu nchi Itakosa mabilioni ya Dola za misaada na mikopo ya WB

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Wizara ya Fedha ya Ghana Kupitia Waziri wake imemuomba na kumtahadharisha Rais Nana Akufo Ado kughairi kusaini Mswaada wa kupinga Ushoga kuwa sheria.

Bunge la Ghana liliandika msawaada huo na Sasa inasubiriwa Saini ya Rais ili iwe sheria.Mswaada huo unatoa adhabu Kali Kwa Mashoga na Ushoga ikiwemo kuharamisha kabisa vitendo hivyo.

Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha ni kwamba Nchi hiyo inayopitia kipindi kigumu Cha kiuchumi na kutegemea mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa kama Benki ya Dunia inaweza kuingia kweymgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi endapo Jumuiya za Kimataifa zitasitisha kutoa mikopo na Misaada kutokana na sheria hiyo.

Ghana ilitangaza kufilisika Kwa Kushindwa Kulipa Madeni (default) mwaka Jana,hivyo inategemea Misaada ya WB.

View: https://twitter.com/allafrica/status/1765031034272219172?t=mPYKMCtoqW_R0_KeuB-Ycw&s=19

==================

Ghana's finance ministry has reportedly cautioned President Nana Akufo-Addo against endorsing an anti-LGBTQ bill, citing potential dire economic consequences.

The ministry warned that approving the bill could result in Ghana losing significant financial support from the World Bank, amounting to billions of dollars.

The bill, which was recently approved by lawmakers, seeks to severely restrict LGBTQ rights in Ghana.

Ghana, like many African countries, is reliant on loans from the International Monetary Fund (IMF) and World Bank to stabilize its economy.

According to a leaked document, the finance ministry estimates that Ghana stands to lose approximately $3.8 billion in World Bank financing over the next five to six years if the bill is endorsed.

President Akufo-Addo now faces a challenging decision as he weighs the implications of the bill.
 
Kazi ni kipimo cha utu.wachape kazi wajenge Taifa lao kwa mikono yao wenyewe na siyo kutegemea wageni au mashirika ya kimataifa kuwajengea Taifa lao.
Umeongea jambo kubwa sana ambalo waAfrica wengine tunalikwepa.

Misaada tunayoombaomba Kila kukicha Kwa wahisani ndio umasikini wetu na kutudhalilisha.

Maendeleo yatakuja tu kwa watu kufanya kazi kwa bidii kwa kutumia vyanzo tulivyopewa na mwenyezi Mungu
 
Kazi ni kipimo cha utu.wachape kazi wajenge Taifa lao kwa mikono yao wenyewe na siyo kutegemea wageni au mashirika ya kimataifa kuwajengea Taifa lao.
Ungekuwa unalijua hili usingekubali kiwa chawa..
Chawa ni mdudu mjinga sana.
Waambie mabosi wako wapitishe sheria kama hii alafu isainiwe kama kweli unajua ulichokiandika.
Kutoa Msimamo wa mdomo tu mmeshindwa....mnatoa macho tu
 
Back
Top Bottom