Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi habari achaneni nazo
Habari za kupashana au kutofautiana zipo na ni kawaida tu hivi ni kwa nn ni Watanzania ndiyo huwa tunatofautoana sijawahi kuona wakundustan wametofautiana hata siku moja hayo mambo achana nayo tuendele na battle tusmpe mda jirani kujipanga sababu sisi tunatofautiana ila na nyie kundustani hamna jipya ndiyo maana unaona tunalumbana wenyewe kwa wenyewe
 
Hizi habari achaneni nazo
Habari za kupashana au kutofautiana zipo na ni kawaida tu hivi ni kwa nn ni Watanzania ndiyo huwa tunatofautoana sijawahi kuona wakundustan wametofautiana hata siku moja hayo mambo achana nayo tuendele na battle tusmpe mda jirani kujipanga sababu sisi tunatofautiana ila na nyie kundustani hamna jipya ndiyo maana unaona tunalumbana wenyewe kwa wenyewe
Waambie hao wajinga wanaotukana watu bila hata kuwajua. Wanamtukana Rais wetu wakati wao ni watanzania. Ninawasiwasi na hizo accounts huenda sio watanzania.
 
Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.

Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k

Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.

1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.

2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.

View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL

View attachment 3458489

3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar

View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv

View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI

Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing

Kilombero to 270k Tones


View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr


Upanuzi Wa Kagera Sugar

Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc

Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.

Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya

Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import

Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.

Kuna Wasenge wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.

TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.

ila nimeskia kibali cha sukari cha nchi nzima anacho mtoto wetu mpendwa 😂🙌🏻
 
Wakenya kila kitu wanaagiza kutoka kwa wazungu

SUMAJKT Garments Co. Ltd​

Millitary Uniforms - Made in Tanzania
1756626769128.png


Heavy Duty Poncho​

1756626805954.png


Land Force Number III​

1756626848947.png
 
Back
Top Bottom