Mimi siyo mwanasiasa, wala sitafuti vyeo vya kisiasa.Kaka kila mtu yupo na uhuru wake. Usinilazimishe niamini siasa zako kaka. Wewe endelea kueneza siasa zako hizo huwezi kukosa wafuasi.
Asante, nipo hapa Njombe kuna baridi kinoma napata Gahawa
Ningekuwa Mwanasiasa ungeniona natafuta umaarufu.
Natoa maoni yangu kama MTZ asiyetegemea fadhila yoyote ya mwanasiasa yoyote kwasababu sina NCHI nyingine, kama kina SINGASINGA wenye Passport 4 na kinga ya shati la kijani.