President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,377
Kaka hizo zote ni siasa. Sijaona hoja ambayo umeileta siyo ya kisiasa. Kusema ndani ya miaka 5 hakuna atakayekuwa anaenda kwenye mikutano. Ni maneno tu hayo kaka ya kisiasa.Mimi nimeshiriki.
Suala la kura kutokuwa na maana liko wazi.
Na hapa kwetu, mgombea wa CCM aliteuliwa alikuwa Barmaid na taswira yake kwenye jamii ni mbaya.
Huyo ndani ya miaka 5, hakuna mtu atakuwa anaenda kwenye mikutano yake.
WaTZ siyo violent, ila ni watu wanaogulia ndani tu.