Kuna tetesi kuwa unaweza kupitishwa maana wabunge wengi wa CCM waliuunga mkono. Na ungelisikiliza hizo sababu walizotoa aisee ni za kikunyakisi kama walivyo wao.Ule Muswada ni HARAMU. Sijui kama ulipita ai vipi ila unakiuka Sheria na katiba, maana Mke wa Rais siyo kazi ya utumishi unaotambulika.
Ni ulafi uliopitiliza tu unawasumbua.