Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani awamu moja ya miaka minne imekopa pesa nyingi kuliko awamu zote tano zilizopita ambazo zinafika miaka 60

yani awamu tano zote zilikopa 55 trillion ambayo ni miaka 60

alaf miaka minne awamu moja imekopa 52 trillion😂😂🙌🏻🙌🏻

😂😂😂😂😂😂 wonders

View: https://www.instagram.com/reel/DKz15SDsFUz/?igsh=bnBkdHVwcHp5N291

Mambo ya kawaida sana mdogo wangu. True colors zenu tutaziona tu. Ukipambana na CCM unapambana na Tanzania huwezi fanikiwa utakufa kwa presha tu mdogo wangu

1756630647912.png


1756630679991.png


1756630740615.png
 
si mulisema muna dollar millionare 7200 au sio nyie ?? 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ni lini Tulisema Nairobi has 7,200 dollar Millionaires? Ebu tafuta hiyo post Ukipata ulete hapa ngamia hii.
 
Na mkewe akaja kuleta muswada wa kisenge sana pale bungeni.
Eti wenza wa viongozi wastaafu nao walipwe mafao ya kustaafia ya uongozi.
Hivi ana akili timamu huyooo!?
shida ya viongozi wa tanzania hawataki kukosolewa kwa kuambiwa ukweli kama vile viongozi wa kenya wanavokosolewa na kuambiwa ukweli

tungekua na viongozi wanaokubali kukosolewa basi tanzania ingekua na viongozi bora kuwahi kutokea africa

kukosolewa sio laana ni uwajibikaji
 
Back
Top Bottom