Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inawezekana na nafasi inatosha mkuu, wajenge tunnel kutokea ile njia ya kwenda bandarini ili gari za kutoka kule zipite chini na gari za kutoka feri (white house) zipite juu ya tunnel then hizi za kutokea kamata kuelekea airport zijengewe ka flyover mzunguko, gari za kutokea ferry kama zinataka kwenda kamata (Congo street)zipite mchepuko zielekee njia ya bandarini ambapo wataweka roundabout ili zirudi kuja kamata.

Illustration 👇👇
View attachment 3457610
Hio tunnel unaichimba kuanzia wapi na inatokea wapi? Tunnel ya magari njia sita sio kama tunnel wa wavuka barabara.
Elezea hapa tunnel ichimbwe kutoka wapi na iwe na urefu gan iibukie wapi,iwe chini kina gani ili isilete mushkeri wowotw kwa sgr viaduct.

Tunnel sio kama flyover ambayo unaweza kuipachika popote penye nafasi. Ile tunnel ya sgr hapo veta ni kama mtaro tu kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine.
 
Mkuu nafasi ipo kubwa tena ya kutosha kabisa, tatizo hawataki kuvunja wanaogopa cost ambazo ni ndogo tu ukilonganisha na muda unaopotea pale. Hiyo tunnel inatakiwa ichukuwe nafasi kubwa upande wa bandarini, huku kamata ifanye kama inatokezea, kuna majengo mengi yameingia kwenye road reserve lkn hawataki kuyabomoa, ama pengine wanaogopa fidia ama ni ya wenye serikali ambapo inapelekea kulazimika kujenga vibarabara vyembamba na vingine vinakosa mpaka sidewalks kama hiyo njia ya kutoka ferry to airport, ushuzi mtupu.
 
Hio tunnel unaichimba kuanzia wapi na inatokea wapi? Tunnel ya magari njia sita sio kama tunnel wa wavuka barabara.
Elezea hapa tunnel ichimbwe kutoka wapi na iwe na urefu gan iibukie wapi,iwe chini kina gani ili isilete mushkeri wowotw kwa sgr viaduct.

Tunnel sio kama flyover ambayo unaweza kuipachika popote penye nafasi. Ile tunnel ya sgr hapo veta ni kama mtaro tu kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine.
Hebu niambie kujenga kitu kama hiki pale kamata haiwezekani? Na kwann haiwezekani wkt nafasi ni kubwa.
Screenshot_20250829_164959_Google.jpg
 
Unajua dimensions za hio picha hapo au unaona simple tu? Hivyo vitu vinahitaji nafasi. Anyway sawa inawezekana.
Upigaji tu, kwenye engineering hakuna kinachoshindikana kama mtaamua, huu upigaji ndiyo huo unaoendelea ile njia ya uhuru road ya kutoka buguruni to karume, wameshindwa kuvunja majengo kujenga barabara pana wamefosi kupita mule mule majengo yalipoishia, ni kama Nyerere road pia wamefanya hivyo hivyo, imagine njia ya uso wa nchi wanai sodomize namna ile.
 
I mean Kamata, pale ni ROUND ABOUT ya Kariakoo, Posta, Kurasini, Airport.

Foleni kubwa inatokea sehemu gani?
Issue sio foleni kubwa inatokea wapi, issue ni kuondoa foleni. Ile njia kumbuka inaongoza kuwa na misafara ya ajabu ajabu, kinachotakiwa ni kufanya maarifa kupunguza muda wa raia kukaa barabarani, inawezekana foleni kubwa ni kutokea posta kuja airport lkn foleni hiyo inatokana na uwepo wa foleni ndogo ya kutokea kkoo, hivyo basi ukitengeneza means ya kuepusha magari ya kutoka kkoo kukutana na ya kutoka posta (kwenye foleni kubwa) utakuwa ume curb tatizo si ndiyo?
 
Hebu niambie kujenga kitu kama hiki pale kamata haiwezekani? Na kwann haiwezekani wkt nafasi ni kubwa.View attachment 3457631
Mkuu ni uongo kujenga hivi pale, pale gold star kuna SGR viaduct and it is less than 100 metters hadi ufike mataa ya kamata ukitokea mnazi na umbali huo huo ukitokea kariakoo msimbazi street (sasa sijui huo urefu wa hii flyover utaukadiria vipi ili visiingiliane), na kuhusu hiyo tunnel unazunguzia, unajua kutoka mataa ya kamata hadi kufika kwenye tunnel ya SGR ni kati ya mita 200 au less, na hapo katikati kuna kituo cha mwendokasi (mkabala na mkuki mall), utaichimba vipi hiyo tunnel na hii miundombinu mingine iendelee kuwepo.?
 
So, what is the solution? Tuiache vile vile?
 
Grevys Zebra vs Plains Zebra. The smaller one with thick stripes is the plains zebra, it's very common and also found in Vumbistan. The bigger one with thinner stripes is the Grevys Zebra. Only found in Samburu National Park and small numbers in Ethiopia. vumbistanis have never seen this one.

Screenshot_20250829-172700.png
 
Issue sio foleni kubwa inatokea wapi, issue ni kuondoa foleni. Ile njia kumbuka inaongoza kuwa na misafara ya ajabu ajabu, kinachotakiwa ni kufanya maarifa kupunguza muda wa raia kukaa barabarani, inawezekana foleni kubwa ni kutokea posta kuja airport lkn foleni hiyo inatokana na uwepo wa foleni ndogo ya kutokea kkoo, hivyo basi ukitengeneza means ya kuepusha magari ya kutoka kkoo kukutana na ya kutoka posta (kwenye foleni kubwa) utakuwa ume curb tatizo si ndiyo?
Hapo kuna;
  • Kamata
  • Buguruni
  • Magomeni

Naona kama zote zinatoka
 
Mkuu ni uongo kujenga hivi pale, pale gold star kuna SGR viaduct and it is less than 100 metters hadi ufike mataa ya kamata ukitokea mnazi na umbali huo huo ukitokea kariakoo msimbazi street (sasa sijui huo urefu wa hii flyover utaukadiria vipi ili visiingiliane), na kuhusu hiyo tunnel unazunguzia, unajua kutoka mataa ya kamata hadi kufika kwenye tunnel ya SGR ni kati ya mita 200 au less, na hapo katikati kuna kituo cha mwendokasi (mkabala na mkuki mall), utaichimba vipi hiyo tunnel na hii miundombinu mingine iendelee kuwepo.?
Ukiangalia mchoro hauhusiani kabisa na viaduct ya pale gold star, viaduct ipo mbali kabisa, labda useme pale kamata, lkn pia sio lazima flyover kuanzia nyuma kabisa karibu na daraja la electric train pale kamata tunaweza kuanzia pale karibu na mataa ikazunguka na kwenda kushuka lilipo jengo la mkuki, hiyo mkuki mall iondoke tu haina faina kubwa kwa jamii kulinganisha na hiyo solution. Kuhusu tunnel inaweza ikala nafasi kubwa upande wa bandarini ikaja kutokezea kamata, tukishindwa tuwape wachina wabuni watuondolee hili tatizo mana sisi waafrika tushakubali hatuwezi kufikiria.
 
Back
Top Bottom