Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kutafuta kichaka cha kujifichia,ukweli ndio huo,na shida inaanzia viongozi wa kiafrika kwao siasa ni ajira,ndio maana hata wanapofanya makosa awajiuzulu,na hata utakuta kiongozi anamuandaa mwanae aje kuwa kiongozi,demokrasi ya kweli hamna na ndio maana hawana hofu ya wapiga kura,hali hiyo ndio inafanya bara letu liwe kituko pa1 na rasilimali zote
Umenimbusha Ahmadinejad, aliposhindwa uchaguzi akajirudia zake kufundisha chuo, japo kuwa na yeye alipenda nepotism.
 
Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness ya wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni hii trickle down economics.
I agree.
 
Hizi habari achaneni nazo
Habari za kupashana au kutofautiana zipo na ni kawaida tu hivi ni kwa nn ni Watanzania ndiyo huwa tunatofautoana sijawahi kuona wakundustan wametofautiana hata siku moja hayo mambo achana nayo tuendele na battle tusmpe mda jirani kujipanga sababu sisi tunatofautiana ila na nyie kundustani hamna jipya ndiyo maana unaona tunalumbana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom