Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

importation nyingine hio 😂😂😂😂
viwanda vyao vyote vimekufa

View: https://x.com/thestarkenya/status/1961140131471180128?s=46

Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.

Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k

Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.

1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.

2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.

View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL

1756544105912.jpeg

3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar

View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv

View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI

Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing

Kilombero to 270k Tones

View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr

Upanuzi Wa Kagera Sugar

Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc

Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.

Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya

Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import

Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.

Kuna Wasenge wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.

TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.
 
View attachment 3458489

TZ ina vision na ina watu wanafikiria na kufanya kazi.

Huwa inakosekana tu utashi wa kisiasa sometimes wa kusukuma matokeo yaonekane.

Unaona sasa hivi tunavyosukuma SPECIAL EVONOMIC ZONES, MKUMBI na kuoiga marufuku wageni wa biashara ndogo.

Maana yake miaja 10 ijayo, tuatakuwa na mitaji mikubwa na viwanda vingi sana.
 
Serikali yetu pamoja na mapungufu iliyo nayo huwa haina mzaha na maswala yanayo hatarisha inchi kuna kipindi Mafuta yalizingua wakachukua hatua swala likaisha, "MAFUTA YA KULA"na "SUKARI" hatua zikachukuliwa sio tu kuagiza nje ya nchi kwa mda mfupi na kutatua tatizo kwa mda mrefu ni kutoa vipaumbele kuwa na wazalishaji wa ndani sio kuagiza nje tu hatua zikachukuliwa na polepole matatizo na changamoto zinakata taratibu wao ni viwanda kufa kabisa Sukari inayo baki baada mahitaji tuwauzie hawa wavivu
Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.

Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k

Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.

1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.

2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.

View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL

View attachment 3458489

3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar

View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv

View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI

Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing

Kilombero to 270k Tones

View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr

Upanuzi Wa Kagera Sugar

Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc

Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.

Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya

Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import

Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.

Kuna Wasenge wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.

TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.
 
Ila wawekezaji wanakuja na mambo yao.

Na nyie mnaenda na ya kwenu, mnakutana mnazungumza.

Magu alipanic tu.

Alitakiwa kuwaita awakabe wazungumze.

Maana mikataba mingi aliyo-negotiate ilienda vizuri.

Leo kila mgodi unaokuja TZ, serikali inapata automatic hisa za 16%-20% bure.

Tunanunua dhahabu na tumeshaanza kuwafosi, wafanye refinery ya angalau 20% ya dhahabu nchini.
Brother sidhani,

Bagamoyo mzee wa Msoga na Genge lake litakua lilifanya umafia sana, Plus kule gesi.

Hukumbuki mzee alisema alikuta Gesi imechukuliwa asee hawezi itumia kuzalisha umeme freely ikabidi aende kuijenga JNHPP awe free na control, maana JNHPP ilifunika kila sources capacity, hivyo kuna fala akijifanya kuringishia kamtambo anaondolewa TANESCO.

Same kwa Bagamoyo port, ndio Maana mzee aliona asuke sheria kwanza.

Alianza na

The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (Kuipa government full sovereign juu ya resources zote za nchi hivyo hata mtu umsainishe 99yrs lakini ukiona hainufaishi nchi unaweza irudisha anytime) yaani tuligeuza rasmali zote kua sawa na Sheria yetu ya Ardhi and more better

Na kuna hii

The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

Hiyo ya Madini ilifanyiwa huku

Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act No. 7 of 2017

Ambayo ndio iligusia 16% non dilutable free carried interest

Pamoja na uwezo wa kuacquire up to 50% shares ikiwa kuna kulegeza kidogo kwenye taxes

Nadhani naweza jaza hapa unaweza ziandika ChatGPT ukapata kina.

Hizo sheria ni moja ya vitu vya thamani sana kwa hili taifa. Nilisikitika walipoenda Bungeni kujaribu kuzifuta kisa zinafanya kuwapa Waarabu, wawekezaji inakua ngumu (DP WORLD)

Yaani mpaka sasa TANZANIA ni only Africa country toughest kwenye kulinda nchi na kuweza kuhodhi rasmali.

Nakumbuka baada ya hizo sheria kupita aliweza kustop BAGAMOYO PORT, LNG PROJECT mpaka TPDC wareview kitalu cha Mnazi Bay Gas field, na hiyo Sheria ya tatu iliweza wasaidia TPDC kuongeza umliki hadi 40% wa Mnazi Gas field kutoka za 20%

Ilikua suala la Muda tu kunegotiate Bagamoyo port kama walivyomaliza na BARRICK tukawa na TWIGA MINERALS.

Nadhani wote tunamjua MZEE asingeweza kutubania dili za kunufaika.

Hope SAMIA HATAZICHANGE ASEE
 
100%

Nadhani sote tunakubali kuwa Bagamoyo Port and SEZ ni muhimu.

Hasa kutokana na jinsi nchi za Asian Tigers zilivyofanikiwa.

Shida kubwa ni aina ya DEAL tutakalopata.
 
Even if miradi yote ya Magufuli ikipotea hata asingejenga anything ila hizi sheria tatu tu zilitosha kura zangu

1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017

Establishes that Tanzania has permanent sovereignty over all natural wealth and resources.

Requires that agreements relating to natural resources must ensure the country retains full control and benefits.

Prevents any court or tribunal outside Tanzania from having jurisdiction over disputes regarding natural resources.

2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

Empowers the government to review and renegotiate mining and natural resource contracts deemed "unconscionable."

Aims to remove terms that deny Tanzania its fair share of profits or limit sovereignty.

3. Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2017 – Amendments to the Mining Act

Introduced free carried interest (16%) for the government in mining companies.

Increased royalties and required beneficiation of minerals before export.

Grants Tanzania rights to acquire up to 50% of a mining company based on tax benefits and incentives received.

These laws zinatosha tu kuongea namna gani alikua na mapenzi kuona nchi inanufaika fair. Angekua wa kula ni kupiga tu.
 
Mwinyi ana tofauti gani na hilo.

Amekodisha visiwa vyote Zanzibar. Amempa Bakhresa maeneo amejenga majumba (Fumbo town) anauzia Wazungu tu.

Wazanzibar wako wapi??

Wanapumulia bara tu.
Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness ya wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni hii trickle down economics.
 
100%

Nadhani sote tunakubali kuwa Bagamoyo Port and SEZ ni muhimu.

Hasa kutokana na jinsi nchi za Asian Tigers zilivyofanikiwa.

Shida kubwa ni aina ya DEAL tutakalopata.
Ndio hivyo mzee huwezi taka eti kukosoa eti Magufuli alipiga chini Bagamoyo port ikiwa masharti yalikua hayanufaishi nchi na tukisaini ndio nitoleee kabisa.

Ila kwa sasa kusaini sio mwisho, mwekezaji anachunga asije haribu akanyanganywa maana anajua sio vyake.
 
Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness wa wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni trickle down economy.
Shida yetu pia waTZ inaonekana hatujui chochote.

Marekani ni mbali nenda tu hapo Kenya ukajionee.

Watu wanapanga mpaka kifo. Ni maisha ya BILLS.

Huwezi kuvutia miradi ya UREMBO tu, kufurahisha wageni.
 
Back
Top Bottom