Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,224
- 33,444
Mbona hizo berths looks like they are 50 meters each?
Mbona hizo berths looks like they are 50 meters each?
Kwa hiyo unaona sawa kuwa na mtandao wa kikundi kidogo, kinacho hakikisha, wenyewe na watoto wao wanaitawala Tanzania milele? Akitokea mtoto wa mkulima, mwenye uwezo, wanamlambisha mchanga, hiyo ni sawa?Kaka mitandao katika nchi haiwezi kukosekana. Nchi isiyokuwa na mitandao ni nchi mfu. Tangu kipindi cha Nyerere mitandao ilikuwepo.
Mafanikio gani ya individuals unayosema, wakati hapa tunaongelea masuala mapana ya nchi? Mfano sasa hivi tuna wastaafu ambao ni very intelligent individuals ambao bila ya Mwalimu kuwa na sera nzuri za elimu, wasingefika hapo.Mimi sioni tija ya kuanza kuzungumzia mafanikio ya watu wengine Negatively. Sijajua ni kitu gani mnachokiongelea.
Kaka, si unaelewa hawa jamaa zetu linapokuja suala la 'musungu' huwa wananywea.Mbona wazungu wanaenda Kibera na korogocho, Wakenya hawasemi kitu.
Jamaa wa wallah!Kunyaland wanaumia sana Zuchu ku perform 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 3458701
Kaka kikundi kipi kimeitawala Tanzania na watoto wao?Kwa hiyo unaona sawa kuwa na mtandao wa kikundi kidogo, kinacho hakikisha, wenyewe na watoto wao wanaitawala Tanzania milele? Akitokea mtoto wa mkulima, mwenye uwezo, wanamlambisha mchanga, hiyo ni sawa?
Mafanikio gani ya individuals unayosema, wakati hapa tunaongelea masuala mapana ya nchi? Mfano sasa hivi tuna wastaafu ambao ni very intellent individuals ambao bila ya Mwalimu kuwa na sera nzuri za elimu, wasingefika hapo.
Sasa hivi tumeanza kuidhoofisha elimu, juzi Kikwete anasema, mabadiliko ya elimu yatakuwa, darasa la kwanza hadi form 4, yaani watoto watapelekwa tuu bila mchujo, tunataka kutengeneza vilaza kwa faida ya nani?
Mzee unataka nini zaidi ikiwa kuna strong laws three laws ambazo zinajibu kilio chako cha muda mrefu kama nchi? Bado zinapingwa.Kelele siyo UADUI.
Unatakiwa kujua kelele zinatokanana HOFU, maana tumeshapigwa sana na pia kelele zinatokana na kubahatisha maana hayo makubaliano hayako wazi
Hivi kweli hakukuwa na mtu mwingine wa kushindanishwa na Ridhwani pale Chalinze?Kaka kikundi kipi kimeitawala Tanzania na watoto wao?
Wabunge wa Tanzania ni 272. Hebu taja watu kama 20 tu waliopota ubunge wa CCM kuwa ni watoto wa hicho kikundi
Ila inasikitisha kuona watu maendeleo pekee wanayofikiri ni uhuru wa kutukana, kupinga pinga ikiwezekana kuichafua nchi ili mradi waonekane wapo sahihi bila kujali madhara.buffalo44 tutafika tuu, hata kama tutakuwa tumechoka.
Nchi hii tukipata kiongozi mzalendo, atakaye fyeka mtandao wote, tutatoka haraka sana, hasa katika hiki kipindi ambapo EU wapo dhaufu.
Nani anapinga hizo sheria?Mzee unataka nini zaidi ikiwa kuna strong laws three laws ambazo zinajibu kilio chako cha muda mrefu kama nchi? Bado zinapingwa.
Tukisema tusikilize kila mtu tutafika wapi?
Sikatai Kelele (Criticism) kuna constructive pia.
Nakataa pinga pinga ya kila kitu hata chenye manufaa kwa nchi.
Yaani kudandia hoja daily kupinga pinga kuona eti watu wafeli upate hoja wakati akifeli kama taifa tunapata pigo zito.
Huyo mtu wa aina gani?
Mkiambiwa health sector yenu ipo mkiani mnakasirika, Tanzania vitu kama hivi ni grassroot level
View: https://x.com/mkushi_jiga/status/1671893302428200960?t=xH5xTWpc0gm_OTUI-TdtQg&s=19
Weak Country inagongwa na South Sudan Kwikwikwikwikwi
View: https://x.com/vinguard254/status/1961656899641720882?t=I2k_2eGh9X8VwW6dRRCXKQ&s=19
Nani anatukana?Ila inasikitisha kuona watu maendeleo pekee wanayofikiri ni uhuru wa kutukana, kupinga pinga ikiwezekana kuichafua nchi ili mradi waonekane wapo sahihi bila kujali madhara.
Kutendeana haki nyie wenyewe nyumbani siyo lazima mlazimishwe na watu wa nje.Sidhani even kuna nchi yoyote inayochekea watu wa aina hiyo.
Watu wanasema ulaya na Marekani zina demokrasia etc
TZ ni TZ, na nje ni nje.Ukiangalia hata kule kuna sehemu ukigusa (ambayo taifa linaitegemea kustabilize) wanakupoteza.
Mbona Edward Snowden hawakumpa uhuru? USA utachongaaa weee ila Jaribu kuingilia Security tuone.
Kuangusha taifa vipi?Mbona hawatoi uhuru kwa watu wa Antisemitic or maagenda yao ya kiwaki like LGBTQ.
Ajabu watu wanataka uhuru sehemu ya kuangusha taifa.
Kutukanaje?Kwani wangapi wanatukana humu? Wangapi wanatukana Instagram na Facebook?
Yes watawala ni wapuuzi, ila huyo mtu mwenyewe mtaani akifanyiwa hivyo anataka ugomvi.
I am talking the country as whole mkuu. Siongelei sijui huu uchawa as matter of fact Mimi sipo na huu utawala.Nani anapinga hizo sheria?
Watu lazima wapige kelele ili tufike.
Nchi yetu hii, kwasasa hata Katiba hatuiheshimu, bila kelele hizo sheria zitabaki maandishi tu.
Kuna uzuri wa sheria na kuziheshimu
Dah! I think Boss you are in present zaidi.Nani anatukana?
Share matusi hapa.
nani anachafua nchi?
Wanachafuaje.
Unatakiwa kujua CCM na nchi ni vitu viwili tofauti, kijana.
Kutendeana haki nyie wenyewe nyumbani siyo lazima mlazimishwe na watu wa nje.
Kwanza watu wa nje ndio.wanapenda msielewani hapo ndani, ili WAWAINGILIE mpigwe.
TZ ni TZ, na nje ni nje.
Kma una famiia yako nyumbani. Kuijali utu, soyo lazima jirani akwambie.
Hiyo ni mantiki ndogo tu.
Kuangusha taifa vipi?
Watu wanaozungumza wakiwa hawana hata wembe, ndio waangushe taifa??
Kutukanaje?
Leo kila taasisi ya umma haitendi haki.
Hao wanasiasa, mikitanoni hawatakiwi, bungeni hawatakiwi, mahaamani hawatakiwi.
Unatakaje ?
Wavunje usalama.
Waingie msituni, huko washirikiane na Kagame, Ulaya na Marekani ndio ziwe siasa??
While we were equipping our hospitals with oxygen plants during covid, si mlikua munakunywa maji ya ndimu. Right now you think you are so clever. 🤣 🤣 🤣Yaani oxygen gas ambayo Tanzania mpaka ward medical centers zinaproduce ninyi ni mpaka international investment iingie?
Hakuna mtu anayesema nani alikuwa sahihi.I am talking the country as whole mkuu. Siongelei sijui huu uchawa as matter of fact Mimi sipo na huu utawala.
Naongelea swala zima ya hao unaowambia wanapiga kelele, may be kwa sasa kelele zao zinaweza kua right.
Ila hao hawaeleweki wanataka nini? Hizo Sheria 3 Lissu mwenyewe alizipinga wazi wazi na kusema tutashtakiwa MIGA unless umeanza kufatilia siasa recently.
Kwa hiyo unataka mimi nimuunge mkono Lissu kisa yuko right recently wakati ndio yuko hivyo hata mambo yanyooke?
Niambie hao wote wenye kelele kuna jema gani waliwahi pongeza?