ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ardhi yenu mmepea Wazungu walimie Maua, Kahawa, Mirungi na Chai. Roho mbaya iko wapi hapo? Nyie si mnatamba kuwa ndio big economy, mbona mnalialia?Hamna kosa, ila mna roho mbaya na unafiki.
Tena wako serious kwa mtz, wanaandika hadi siku kabisa za kukaa kwenye passport, na location na kama huna useme number ya siku ya host wakompumbavu wewe unanifanya mm mgeni wa kuja kenya au? bila passport au temporary passport unaeza ingia kenya au uganda ??? lini ushawah toka nje ya ushago hapo???😂😂😂😂 wewe na ng'ombe tofaut yenu ni nn ?
Halafu unakuta mp kabisa anaongelea beggers. Mkuu wa Uhamiaji yupo kabisa ofisini. Hiv mtu atoke nchi nyingine aende kuwa omba omba na nyinyi mpo tu. Hiv Kuna nchi hapo?mjinga wewe huna akili how can a tanzanian begger aingie kenya bila passport unless nyinyi hamuna nchi muna guest house ya kunyanduana tu 😂😂😂😂😂
Wasouth ni Afrophobic na ndio wanataka kwao iwe hivyo sasa hii swalalaTanzania linakuwa kama justification yao.Nimeona wakenya kadhaa wanajieleza kweli, lakini wa South wanawapiga misumari ya moto 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .
Watanzania tupo kimya wanagongana wao kwa wao kwenye mitandao
Ninaweza kuiona kama itakupendeza kaka?Brother Tanzania ilishafanya sana katika ukombozi wa afrika. Tukaambulia maumivu. Soma foreign policy yetu mpya.
Kwa sasa urafiki na mtu ikiwa tu Tanzania inapata faida ya kiuchumi basi. Hayo mambo ya big brother in the region hayamo kwenye foreign policy.
Tanzania siyo nchi ya ku create jobs for other countries. Serikali zao zitengeneze jobs kwa watu wao.
Halafu unakuta mp kabisa anaongelea beggers. Mkuu wa Uhamiaji yupo kabisa ofisini. Hiv mtu atoke nchi nyingine aende kuwa omba omba na nyinyi mpo tu. Hiv Kuna nchi hapo?
Ndo maana watz huwadharau tu. Maana wanaongea Sana halafu ujinga tu. Tunaita kupayuka. Wakenya ni wapayukaji na wakurupukaji tu
That’s the truth young man. You disputing it won’t change that fact.Acha upumbavu wewe
That picture is fully Parklands in the foreground. Right now CBD, Upperhill, Kilimani and Westlands has no competitors in Tanzania, in the next 5yrs Parklands, South C, South B and Syiokimau will also have no competitors in Tanzania.Hata Westlands skyline haiko and Nairobi still dope ..😜
That hawker was never an IT guy. IT gani unaezafanya na education level of Primary School dropout?Sama boy was an IT guy . Maybe he got fired for criticizing CCM ( I warned him)..🤣🤣… pengine sasa anaskuma mkokoteni huko Tandale..😁
talenta tunajenga kwa pesa zetu 😆
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1950753284345741661?s=19
Mnaota.Haya Maumivu yanayowapata wakenya ni makubwa sana, Wanatamani wangekuwa na uwezo hata wa kuvamia Tanzania. But wakiangalia kila kitu tunawazidi wanabaki kupiga kelele kwenye media. Hizo ni kanuni za waoga
View attachment 3426343
View attachment 3426344
View attachment 3426345
😂😂😂😂😂😂😂😂 nilikwambia hakuna pesa mumeweka hapo, hio ni PPP ya mchinaKwani hiyo bond imetumika kufund the building of Talanta ilikuwa ya watanzania? The fund was fully contributed by Kenyan investors.
By the way what happened to Talanta being Mali ya Mchina?
Sisi ni muhimu mjinga ww,ndio maana mnaandamana mitandaoni kwa sheria tulizojiwekeaMnajipea umuhimu hamna kazi ni kujiliwaza. Kenya will just retaliate na maisha isonge mbele
Kama hizi sio kelele kwako basi itakua una mtindio wa akiliHakuna kelele, ni nyinyi mnatufuatilia saaana. UG wameenda maandamano ila hamna habari mko busy kusema Wakenya wanapiga kelele. 🚮
Woooow! Watchie .. ma mane !…. What did you smoke today?.. I wanna try it too 😁😁..Never expected that kind of fire 🔥 from you … 😁😁😁Hii nchi kuna ujinga mwingi sn, wamesikia polepole anaongea leo eti yamebana mitandao ya kijamii mpk you tube, CCM majinga yapo mengi sn, alafu IT yenyewe hayajui, unaweka VPN unaangalia kama kawa, maccm yanaharibu sn taswira ya hii nchi na yanajichoresha sn.
Ouch!… my bad .. wrong resume 🤣🤣🤣🤣🤣That hawker was never an IT guy. IT gani unaezafanya na education level of Primary School dropout?