Ninyi mnapeleka ngapi sasa hivi?Sisi priority yetu ipo pengine, kazi yenu ni kujiliwaza tu.. yani upeleke 500ksh tu kwa mwaka kwa kila mwanafunzi kusimamia masomo yake kisha ujipige kifua eti unatengeneza uwanja kwa fedha zako, huoni hata aibu
Ninyi mnapeleka ngapi sasa hivi?Sisi priority yetu ipo pengine, kazi yenu ni kujiliwaza tu.. yani upeleke 500ksh tu kwa mwaka kwa kila mwanafunzi kusimamia masomo yake kisha ujipige kifua eti unatengeneza uwanja kwa fedha zako, huoni hata aibu
Ukiachana na hizi domo domo nyingi, in reality kenya imeipiga Tanzania double double kwenye kila sector View attachment 3426199View attachment 3426201
Hiyo ni haki yenu hatujawahi mtuma mtu kuja kuomba
Sisi huwa tuna balls za ku wa tell off hawa westerners na wanajua hawawezi kutufanya kitu chochote. Angalia hii hapa ya juzi tuu. They know we as a country have our own independent mind and don't take instructions from no one in this globe. 👇Sisi hata Marekani kabla hajakoroma huwa anasikiizia upepo.
Tulidinda na WEST enzi za NAM, ndio tubabaike na kinchi kama Kenya.
Tulivunja mahusinao na Israel, tuakitambua Palestine na West Sahara ndio tubabaike na Kenya.
Kenya hata Visa tu, Wamarekani hawalipi, kwa Tanzania wanalipa $100 na hakuna kitu wanafanya.
Juzi tu hapa Ruto alienda China, akaanza kupigwa mikwara na Marekani, wakati Tanzania hakuna mhuni anasema kitu.
Anayetaka aje asiyetaka basi.
Acha upumbavu weweBegging is placed in underprivileged persons.
Ni sawa na bilioni 20 Tzsh kwa muda wa miaka kumi!? Yani hizo ni pesa za Mo Dewji alizowekeza Simba peke yake wao kwa miaka 10!? 😂😂😂
Kisura mbona wakawaida tu hao watutsi!?Hawa watutsi ni wazuri tu nje ila hawafai kwenye kuolewa, kama huyu sidhani kama itadumu hata miaka miwili
Kwa manufaa ya wakunya mjue Huu ni udhamini wa kit tuu sio mdhamini mkuu.2019. Simba ilianza na UHLSPORT
Kwa Tsh. 600m
2021 - Vunjabei 2bn
2023- Sandaland 4bn
2025 - Jayrutty 38bn ($15m) biggest in EA.
Yani hizo billion 38 Tzsh ni sawa na bilioni 1.9 Ksh,yani mkataba wa miaka 10 wa pesa za kudhamini ligi nzima ya Kenya ni pesa ndogo kuliko mkataba wa Simba na Jayrutty wa miaka mitano.Naomba udhamini wa sandaland footwear wa simba kwa mwaka ni bei gani versus huuu udhamini
Wakati mkataba wa miaka miwili wa Kampuni ya Sandaland kuhusu uzalishaji wa vifaa vya michezo kwa Club ya Simba SC ukiwa unaelekea ukingoni, Club hiyo jioni ya leo Jijini Dar es salaam imemtangaza Mzalishaji mpya wa jezi zao.
Simba wamemitangaza Kampuni ya Jayrutty kuwa ndio Mzalishaji na Muuzaji mpya wa jezi zao kwa kipindi cha miaka mitano katika mkataba huo mnono wenye thamani ya Tsh Bilioni 38 (38,120,400,000).
Kwa mujibu wa mkataba, licha ya Kampuni hiyo kutengeneza jezi za Timu huyo pia itajenga uwanja wa Simba SC wenye uwezo wa kuchukua mashabiki kati ya elfu 10 hadi 12, kuleta basi jipya la kisasa la Timu aina ya Irizar, kujenga Media ya Club, Ofisi na kutoa pesa Tsh milioni 100 kila mwaka za kusaidia vipaji vya soka vya Simba SC.
Mkataba huu mpya unakuwa mkataba ulioweka rekodi ya kipekee kwa Tanzania na Afrika Mashariki kwani imeelezwa kuwa hakuna Club yoyote ya soka yenye mkataba wa thamani hiyo.
Mwaka 2019 Simba iliingia mkataba wa miaka miwili na UhlSport wenye thamani ya Tsh milioni 600, mwaka 2021 wakasaini mkataba wa miaka miwili na Vunjabei wenye thamani ya Tsh Bilioni 2 na mwaka 2023 waliingia Mkataba wa miaka miwili na Sandaland wenye thamani ya Tsh Bilioni 4. #MillardAyoUPDATES
Wallace naye ana makosa yake sio figisu.Halafu wakina engineer Hersi walitaka kumfanyia figisu Karia! Watu wacheze mpira waache fitna!
If I take you by your word haya embu tuambie Gor Mahia ame sign sponsorship deal gani kubwa kuliko hiyo ya KPL.Ungekuwa na akili ungejua clubs do sign higher sponsorship deals than leagues. Lakini ng'ombe ni ng'ombe tu.
Ingekua hivyo Azam asingesaini sponsorship ya ligi ya Tanzania kwa $ 100 millions for ten years.Ungekuwa na akili ungejua clubs do sign higher sponsorship deals than leagues. Lakini ng'ombe ni ng'ombe tu.
Weka maneno vizuri ni mdogo kuliko mkataba wa kit supplier wa Simba. Hapo hatujagusia Mdhamini mkuu Betway and others such as Azam TV rights and NBC premier league etc.Yani hizo billion 38 Tzsh ni sawa na bilioni 1.9 Ksh,yani mkataba wa miaka 10 wa pesa za kudhamini ligi nzima ya Kenya ni pesa ndogo kuliko mkataba wa Simba na Jayrutty wa miaka mitano.
😂😂😂😂 Lamamayeee.
Wazee wa hatutumii Mchina wameenda kubeba scrapper ya 2018 😂😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZMST4RFLD/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Hamna ubavu wa ku retaliate mkibisha tunapiga kwenye mshono KQMnajipea umuhimu hamna kazi ni kujiliwaza. Kenya will just retaliate na maisha isonge mbele